Kuhonga ni jambo ambalo halikwepeki

Kuhonga ni jambo ambalo halikwepeki

tatizo la wanawake, anaweza kuja anatangaza shida na ukamsaidia kama mpenz wako, akitoka hapo anaenda kukutangaza, eti ooh! nimemchuna, sijui hasemi chochote kwangu.., yaani hawa viumbe hawa!
 
Ndungu wanaume.

Ni asili na jadi kumhonga mwanamke. Huwa nawashangaa sana wanaume wabahili!

Unakuta mwanaume unamhonga mwanamke laki tano unamsumbua mtoto wa watu mpaka anakukimbia kabisa.

Ukihonga sio lazima upewe. Unapo muhonga mwanamke weka mawazoni unatoa sadaka sio kama unafanya biashara.

Hawa watoto mbona ni wetu tu kila siku!!!.
Ha haa haaa! Km utahonga laki 5 na usipewe,utakuwa na magunia mangapi ya noti!?
 
afadhali umesema maana mie nilinyooshewa vidole baada ya kumpiga kibuti my mbahili EX. baba alikuwa bahili yule hata sabuni ya kuogea tunatumia ile ya vyombo madai yake eti ni antibacterial!
 
umeona uanzishe uzi mpyaaa yan kutoka kwa magada yake pyaaaaa unakumbuka kule nilikwambia acha kujisifia???
 
umeona uanzishe uzi mpyaaa yan kutoka kwa magada yake pyaaaaa unakumbuka kule nilikwambia acha kujisifia???

Nakumbuka kabisa. Ila ni asili yangu kuhonga na najisikia fahari mwanamke kipenzi akitaka kitu kwangu.

Nani atamtunza zaidi yangu?
 
Dah huyu jamaa kawaza nini, teh! Mimi nimeona sired imeanza tu from no-where!!
 
Ndungu wanaume.

Ni asili na jadi kumhonga mwanamke. Huwa nawashangaa sana wanaume wabahili!

Unakuta mwanaume unamhonga mwanamke laki tano unamsumbua mtoto wa watu mpaka anakukimbia kabisa.

Ukihonga sio lazima upewe. Unapo muhonga mwanamke weka mawazoni unatoa sadaka sio kama unafanya biashara.

Hawa watoto mbona ni wetu tu kila siku!!!.

Kuhonga ni tabia mbaya kabisa. Unahonga ili iweje? Ili upate nini zaidi? Kama mpenzi wako ana shida ambayo mnaweza kusaidiana hiyo siyo kuhonga! Ni kitu ambacho hakiji kichwani kabisa! Unahonga upate nini zaidi? Mimi sihongi hata iweje na sipati mtu analalamika!
 
Kwa hio mienapenda miteremko? Tuheshimiane Matola hajashindwa kunitunza you know!
Honey hiyo ID nishaishughurikia imeunganishwa ni ID ya Wagiriki hiyo, hizo ni dalili wa mtu mwoga.
 
Last edited by a moderator:
Inauma sana unajibaana,mwisho wanachukua ka wametumwa! Dawa ni kuvunja mtandao tu inasaidia flan
 
Back
Top Bottom