Mwanaume kuhonga sana ni dalili kutokujiweza kitandani

Last emperor

JF-Expert Member
Mar 22, 2015
10,352
9,810
Salaam wanajukwaa la Great Thinkers!

Nimekuwa nikifatilia kwa muda sasa maisha ya mahusiano ya wanawake wengi toka nikiwa mtaani, chuoni na hata makazini. Katika vitu nimegundua nikianzia na mitaani hasa huku uswahilini, wanawake wanashauriwa wawe na " mafiga matatu" ambao watawasaidia katika maisha yao, ambae ni mume, bwana wa kumkuna vizuri huko nje na bwana wa kumpa pesa. Huyu bwana wa pesa hapendeki, yeye kinachoangaliwa ni pesa yake tu. Lazima sifa yake iwe ni muhongaji mzuri. Haijalishi ni tajiri au masikini,kuhonga ni kipaji. (Hapa mimi siongelei kumpa mpenzi wako fedha ndogo ndogo za kujikimu, Naongelea kugharamika parefu ili upate mapenzi).

Vyuoni nako nikakuta taratibu tofauti za wanawake wa chuo wanavyoishi, nao Wana mafiga yao matatu, kuna boy friend anaetambulika, ambae ana sifa ya uhandsome na utanashati, na kuna yule mwanaume " joni kisomo" ambae yeye atatafutwa kwaajili ya "kufundisha" inapotokea masomo yanapokuwa magumu, na kuna "sugar daddy" ambae yeye kazi yake ni kutoa pesa za matumizi na za matanuzi..

Makazini nako kwa wanawake nikakuta taratibu tofauti tena, unakuta Kuna "boy friend", kuna jamaa wa mtaani ambae anajua kumnyoosha vizuri mpaka hazungushi kwake, na pia Kuna mtu wa kutoa pesa za kodi, salon, mavazi nk, huyu anaweza kuwa ni Boss wa hapo kampuni au sugar daddy lolote huko mtaani.

Sasa katika watu wote ninawahurumia katika makundi yote hayo ni wale wahongaji ambao ni kundi la tatu( wanaotoa pesa na vitu vya thamani ili wapewe penzi). Na mbaya zaidi ndo kundi linalogharamia zaidi, lakin mwisho wa siku wao ndo kundi linalodharaulika na kutokupendwa kutoka moyoni na wanawake. Yan hata hayo mapenzi yenyewe wanapewa kishingo upande upande bila ushirikiano wowote. Unakuta mwanamke anasema yaani simpendi yule baba, ni hela zake tu.

Kuhonga nako ni kipaji kama kipaji kingine, na kuhonga sio lazima mtu awe tajiri..unakuta mtu hana pesa lakin ni muhongaji mzuri, anaishi kwa kujinyima ili ahonge kumridhisha mwanamke. Kaka yangu alikuwaga ananiambia mwanaume masikini ndo anaongoza kwa kuhonga zaidi kuliko mwanaume tajiri, akasema kwamfano muendesha mkokoteni anaweza akachacharika mchana kutwa akapata sh elfu 5. Halaf kufika jioni akaenda akamhonga mwanamke sh. elfu 3 kati ya ile elfu 5 aliyopata, ambayo ni sawa na 60% ya alichokipata kwa siku hiyo. Na Tajiri kwamfano akapiga mishe yake kwa siku akapata milioni moja, jioni akamuhonga mpenzi wake laki moja, ambayo ni sawa na 10% ya alichokipata siku hiyo, akabaki na laki 9. Hivyo ukija kuangalia nani amehonga zaidi unakuta ni masikini ndo amehonga zaidi aliyehonga Asilimia 60 ya kipato chake.

Sasa kwa wanaume wengi kwanini huwa wahongaji wakubwa ni kwasababu ya kukosa skills za uhakika za kupiga miti. Mwanaume anaejua shuguli vizuri siku zote aidha yeye ndo ahongwe na mwanamke au awe anakula free. Mwanamke hayuko tayari kumpoteza mwanaume anaemkojolesha vizuri mpaka anaridhika. Ataomba hela kwa "sugar daddy" ili akale maisha na jamaa anaejua kumkuna,Tena kwa kulipia gharama zote za chakula, vinywaji na chumba ili apewe huduma maalumu.

Hivyo wanaume wenzangu tuwe makini, tujifunze " kupafom" ili tusiangukie kwenye kundi la wahongaji. Kila mwanaume akijitafakari kimoyomoyo atajua yeye yupo kundi gani.. Kuhonga ni uzezeta
 
Tsh 3000 =60%
Tsh100,000 =10%
Hizo percent ni kwa alie toa emu tufikilie kwa aliepokea sasa hizo pesa yupi kapata hela ndefu.
 
Hakuna mwanaume yeyote ambae anapenda asiwe vizuri kitandani, upungufu wa nguvu za kiume ni tatizo kama yalivyo matatizo mengine kwa binadamu.

Ni vizuri tujikite kutafuta suruhisho kuliko kuwananga waasilika.
 
Acha kujifariji, chukua maamuzi na anza mazoezi ya kurejesha nguvu zako.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nani aliye kuambia sifanyi mazoezi?

Nani aliye kwambia ukifanya mazoezi au ukiwa mzuri kitandani hugongewi ?

Ninavisa vya jamaa zangu kibao waliogongewa kisa hawana hela na baadhi ni watu wa mazoezi, ila mifukoni walikuwa empty.

Halafu hasikudanganye mtu kugongewa kunauma, hasa kugongewa na mtu mwenye hela ndio kunauma zaidi, sababu huambatana na dharau na ndio maana baadhi ya jamaa zangu waliogongewa, walifight na sasa wapo vizuri.

Ukianza kufikiria sana kumrizisha mwanamke kichwa kitauma kwani kila mwanamke ana pumzi yake, mwisho wa siku utampata mwanamke kila ukipiga unaona halidhiki kwani wengine wapo kama magari ya mkaa ndipo unapo hamia kwenye viagra, kasongo mpako ili mradi kumridhisha mwanamke ambaye kuna uwezekano akakubwaga vilevile, akaenda kugongwa na asiejua hata ni maana ya kufanya mazoezi ila ana hela yake na huyo mwanamke akaridhika nae.
 
Nani aliye kuambia sifanyi mazoezi?

Nani aliye kwambia ukifanya mazoezi au ukiwa mzuri kitandani hugongewi ?

Ninavisa vya jamaa zangu kibao waliogongewa kisa hawana hela na baadhi ni watu wa mazoezi, ila mifukoni empty.

Halafu hasikudanganye mtu kugongewa kunauma, hasa kugongewa na mtu mwenye hela ndio kunauma zaidi, sababu huambatana na dharau na ndio maana baadhi ya jamaa zangu waliogongewa, walifight na sasa wapo vizuri.

Ukianza kufikiria sana kumrizisha mwanamke kichwa kitauma kwani kila mwanamke ana pumzi yake, mwisho wa siku utampata mwanamke kila ukipiga unaona halidhiki kwani wengine wapo kama magari ya mkaa ndipo unapo hamia kwenye viagra, kasongo mpako ili mradi kumridhisha mwanamke ambaye kuna uwezekano akakubwaga vilevile, akaenda kugongwa na asiejua hata ni maana ya kufanya mazoezi ila ana hela yake na huyo mwanamke akaridhika nae.
Mkuu ungelimuuliza umri kwanza kwa sababukila mtu anajikuna anapofikia.kuna mt akionga 30000 wk nzima anaifikiria .hapo mwenzako anahonga milion nane wala hata hana habar kubwa alie na utupu wake.basi
 
Kuhonga ni nini em tuanzie hapo kwanza!!
Mwanaume unaweza kua na mpenzi na usihudumie chochote kweli!!? Mleta mada unashadadia kabisa eti mimi natafuta pesa ila kuhonga simoo!!!

Aisee dunia inageuzwa juu chini yani wanaume ndio inabidi wajiuze ndo wahongwe na wanawake. Kijana toa izo fikra potofu kama huna pesa ya kumpa mpenzi wako kaa pembeni usaidiwe, na mbusus utapewa kwa ratiba mpaka zamu zetu zipite na ww ufatafa.
 
Back
Top Bottom