Kuhonga ni jambo ambalo halikwepeki

Kuhonga ni jambo ambalo halikwepeki

Ndungu wanaume.

Ni asili na jadi kumhonga mwanamke. Huwa nawashangaa sana wanaume wabahili!

Unakuta mwanaume unamhonga mwanamke laki tano unamsumbua mtoto wa watu mpaka anakukimbia kabisa.

Ukihonga sio lazima upewe. Unapo muhonga mwanamke weka mawazoni unatoa sadaka sio kama unafanya biashara.

Hawa watoto mbona ni wetu tu kila siku!!!.
Hahaha duh vijana tutafilisika kuwa
 
Unahonga halafu wazazi,wadogo zako,ndugu zako wanaishi maisha magumu
 
nadhani njia bora ni kutulia na kama unataka kuhonga muhonge mkeo! H.I.V wil gi u leson! jaribu kutoa thread za kuelimisha.
 
kwi kwi kwi kwi kwi kwi............no comment
 
Ndungu wanaume.

Ni asili na jadi kumhonga mwanamke. Huwa nawashangaa sana wanaume wabahili!

Unakuta mwanaume unamhonga mwanamke laki tano unamsumbua mtoto wa watu mpaka anakukimbia kabisa.

Ukihonga sio lazima upewe. Unapo muhonga mwanamke weka mawazoni unatoa sadaka sio kama unafanya biashara.

Hawa watoto mbona ni wetu tu kila siku!!!.

Ukihonga ukapewa then what next? uhonge tena ili upewe tena na huyo huyo au unaendelea kutafuna bure? embu tupe shule mkuu
 
msaada tafadhal kama kuna tofauti kati ya kuhonga na kumsaidia mpnz wako kutatua tatizo fulan linalo hitaj pesa
 
Ndungu wanaume.

Ni asili na jadi kumhonga mwanamke. Huwa nawashangaa sana wanaume wabahili!

Unakuta mwanaume unamhonga mwanamke laki tano unamsumbua mtoto wa watu mpaka anakukimbia kabisa.

Ukihonga sio lazima upewe. Unapo muhonga mwanamke weka mawazoni unatoa sadaka sio kama unafanya biashara.

Hawa watoto mbona ni wetu tu kila siku!!!.

Nimekubali gemu mtaani limekuwa gumu. Nilikuwa nadhani wanaume tunajisifia kwa sumu,.. siku hizi ni kuhonga?? haya mabadiliko yalitokea lini jamani.
 
Me nilkua nafikir kuhonga nikumpatia pesa bint au mwanamke kuajir ya kufanyanae tendo la ndoa then kila m2 anachukua time but kwa permanent girlfrnd sizan kama unamuhonga but mnashirikiana kutatua matatizo maana hata mm mida mingine ananitoa cjui hapo imekaaje?
 
Ndungu wanaume.

Ni asili na jadi kumhonga mwanamke. Huwa nawashangaa sana wanaume wabahili!

Unakuta mwanaume unamhonga mwanamke laki tano unamsumbua mtoto wa watu mpaka anakukimbia kabisa.

Ukihonga sio lazima upewe. Unapo muhonga mwanamke weka mawazoni unatoa sadaka sio kama unafanya biashara.

Hawa watoto mbona ni wetu tu kila siku!!!.
Annael Mambo? 😉
 
Last edited by a moderator:
mtu hakuhongi alafu bado anataka mambo kwengine anatoa sielewagi ati
 
Nakumbuka kabisa. Ila ni asili yangu kuhonga na najisikia fahari mwanamke kipenzi akitaka kitu kwangu.

Nani atamtunza zaidi yangu?

una honga kwanzia sh ngapi labda
 
Ndungu wanaume.

Ni asili na jadi kumhonga mwanamke. Huwa nawashangaa sana wanaume wabahili!

Unakuta mwanaume unamhonga mwanamke laki tano unamsumbua mtoto wa watu mpaka anakukimbia kabisa.

Ukihonga sio lazima upewe. Unapo muhonga mwanamke weka mawazoni unatoa sadaka sio kama unafanya biashara.

Hawa watoto mbona ni wetu tu kila siku!!!.

pole zako kama ulihonga na hujala, wengine hakuna kuhonga na tunakula kiulainii
 
Back
Top Bottom