Kuhamia kwa mama wa 51 years | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuhamia kwa mama wa 51 years

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by rosemarie, Oct 11, 2011.

 1. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #1
  Oct 11, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  wakuu nilileta mada hapa kuhusu mama wa 51 years week mbili zilizopita
  hatua tuliyofikia sasa hivi ni kwamba mama anaishi peke yake na anataka nihame nilikopanga nikasihi naye
  du!naona kama najitafutia matatizo makubwa kama nikifanya vile,nahisi ipo siku nitatupiwa virago nje mchana kweupe
  halafu naona kama nitakuja kuteseka kwa sababu inabidi nianze maisha yangu upya tena kabisa
  dah! nipo njia panda
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Oct 12, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  lats time ulisema una miaka 39
  i doubt it...
  you sound like 19.......
   
 3. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #3
  Oct 12, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Amini usiamini (utanisamehe ukikwazika) Nimepata hii picha.

  1. You so wish kua na liji mama but hata hujawahi lala na wa namna hio... kiasi kamba unaona uongelee hapa.
  2. Nakubaliana na the Boss.. you sound like in late teens... Hivi huna mtu huko wa kukuongoza?? Wanaume wa kweli wakifanya haya mambo hawayapumui hadharani.
  3. Au kweli lijimama lilisha wahi kukuomba ukaliliridhishe huko... but mliishia hapo hapo (labda ulishindwa game) hivo kuji nurse pride na moyo unaleta hadith hizi hapa.
  4. You are so hang on on Sex... Na huna pakutulia ngege zako.
   
 4. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #4
  Oct 12, 2011
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Ashadii,hata kumung'unya maneno hutaki,unapasua live ka kisu kwenye siagi,mwonee huruma mtoto wa mwenzio umwelekeze nini cha kufanya.
   
 5. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #5
  Oct 12, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Well said AD & No comment!
   
 6. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #6
  Oct 12, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  hamia tu,si ulisema unataka kuolewa? kuepuka kutupiwa virago identify mma mwingine single and lonely, ukitimuliwa huku UNAHAMIA kule!
   
 7. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #7
  Oct 12, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Huyu jamaa anaongea halafu anajibu mwenyewe!

  Mabingwa wa wanawake wakubwa hua sio dhaifu kama huyu dogo!
   
 8. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #8
  Oct 12, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,224
  Trophy Points: 280
  acha nipite mie, nimechoka kbs. .
   
 9. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #9
  Oct 12, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Boss and AshaDii - Good wrap up to a rather juvenile session, KUDOS kwa sana!! :lol:
   
 10. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #10
  Oct 12, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,075
  Likes Received: 6,538
  Trophy Points: 280
  unapenda kubebwa eeeh, sasa una wasiwasi gani, nenda yatakayokukuta huko utayaleta hapa jamvini kama utakuwa hai.
   
 11. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #11
  Oct 12, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Hata sijui kamaunajua unajifedhehesha na unayoyasema mtu mzima ebu jipatilize....
   
 12. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #12
  Oct 12, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,034
  Likes Received: 23,789
  Trophy Points: 280
  Shem, huna haja kupoteza muda kushauri hivi vitoto vilivyotoka kubalehe jana. Vinatupima upepo tu hapa........

  Kwema lakini?
   
 13. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #13
  Oct 12, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Best Nasso huyo muacheni atajua uzuri wakupenda mteremko hapo baadaye.
   
 14. MADAM T

  MADAM T JF-Expert Member

  #14
  Oct 12, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 3,660
  Likes Received: 940
  Trophy Points: 280
  Mwe sijaelewa, na kama nitajilazimisha kuelewa nauliza hivi kwani sasa hivi amesema ana miaka mingapi?
   
 15. M

  Msindima JF-Expert Member

  #15
  Oct 12, 2011
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1,018
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Hatayaleta yakimfika,atapiga kimya maana anajua akiyaleta hapa atazidi kupata kichaa.
   
 16. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #16
  Oct 12, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0

  mupemupe uyoooo..usimbakishe ata nukta gve hm ol!!!!!...fullnodisssssss!!!!!!!
   
 17. RR

  RR JF-Expert Member

  #17
  Oct 12, 2011
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,719
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 160
  Teens wanapojaribu kujifanya wakubwa....and u nail them really good!
   
 18. Meritta

  Meritta JF-Expert Member

  #18
  Oct 12, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 1,304
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  nilikuwa nataka kwenda sebleni looo nimeingia chooni samahan
   
 19. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #19
  Oct 12, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Shem wanazoea... tukikaa kimya huwa wanafikiri hatujui... once in a while ni kuwashtua tupunguze sampuli hii MMU....

  Mie kwema... kwako je??
   
 20. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #20
  Oct 12, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,034
  Likes Received: 23,789
  Trophy Points: 280
  Hahahahaha............haya bana. Ila mi naamini dawa yao ni kuwapotezea.....

  Maadam wote wameenda msalani, namshukuru Allah uzima upo.

  Afu hivi wajua nlivyokumiss?
   
Loading...