Kugongewa sio tatizo, tatizo ni haya...

Kugongewa sio tatizo, tatizo ni haya...

Nyie wanawake mnaopenda kuchepuka chonde chonde Haya yafuatayo jitahidini kuyaepuka:-

1. Unapgwa huko mpaka unapata ujauzito wa huko, hii sio pia

2. Unapgwa huko mpaka unaleta maradhi nyumbani hii pia sio poa.

3. Usipigwe na ndugu wa mumeo, mwanamke anaeliwa na ndugu wa mumewe ni kama hana kichwa hii ni aibu.

4. Jitahidini kufanya siri, sio unaliwa nje mpaka watoto wadogo wanajua kuwa mke wa fulani analiwa na Fulani (tena hii jitahidini kuizingatia sana), maana unajizalilisha wewe, mumeo mpaka kwa watoto wenu.

5. Usitoe mzigo njiani, polini au sehemu yoyote isiyofaa kwa kujamiana.

7. Hata kama jamaa wa nje anakukaza vizuri zaidi ya mumeo, usiache kumuheshimu mumeo, kumbuka hata ndege hufurahia kula papai lililo kwenye mti wake kuliko lile ambalo limeshatolewa kwenye mti.

8. Hakikisha ratiba zako za kugongwa huko nje haziharibu ratiba za nyumbani.

9. Usinywe pombe siku umeenda kuchepuka.

10. Usijimake up sana siku ya kuchepuka, jimake up kawaida, mumeo asishituke.

MCHEPUKO MWEMA
Kwa kweli wake zetu waliwa balaa,maana hata sisi tunakula wake za watu sana
 
Kwasasa naona haina maana tena kula mke wa mtu,kwasababu hauwi huru n kujficha ficha tu,afu sometimes unakuta una mgharimia sana wakati pesa unapata la nusu nusu,hata kupata nafasi ya kula usiku mzma hakuna
 
Sidhani kama ingekua rahisi kusema haya kama anae mkuu
Nimesema Haya baada ya kuona wake za watu swala la kuliwa nje wameshalifanya la kawaida, sasa ili waendelee vyema ni bora wazingatie niliyoyasema.

Sio kwamba napenda kuona wake za watu wakiliwa
 
N
Naunganisha namba moja na namba mbili
"UKIENDA KUCHEPUKA HAKIKISHA UNAVAA CONDOM" akizingatia hilo namba moja na namba mbili haiwezi ikatokea.
Hiyo namba moja inaleta uadui mkubwa sana katika jamii,Kuna watu nawafahamu maisha yao kama ya paka na mbwa,Jamaa alikuwa anagonga mke wa mtu kavukavu akatia mimba mtoto akazaliwa sura kama ya jamaa,yaani ni uadui mkubwa sana
Ndoa bado ipo?
 
Kuna jamaa mkewe alikuwa analiwa...wakamwambia una kifua tukuonyeshe walipo na jamaa ila usifanye varangati, una kifua? Jamaa akasema anacho...

Wakampekeka getto sehemu ya tukio....kuchungulia dirishani jamaa akawaambia mkewe si kiwete....akakataa kata kata.....

Jamaa alivyomkunjua...huku nje jamaa akaaguka chali - kimya
😂😂😂
 
Nimesema Haya baada ya kuona wake za watu swala la kuliwa nje wameshalifanya la kawaida, sasa ili waendelee vyema ni bora wazingatie niliyoyasema.

Sio kwamba napenda kuona wake za watu wakiliwa
Kwa sasa halizuiliki,wache waliwe na sisi tuwale pia
 
Aiseeeee

Marioo wametoa waraka wao

Wanadai hawna shida nakugongewa ...

Hii tunaita waraka wa madume suruali
 
Nyie wanawake mnaopenda kuchepuka chonde chonde Haya yafuatayo jitahidini kuyaepuka:-

1. Unapgwa huko mpaka unapata ujauzito wa huko, hii sio pia

2. Unapgwa huko mpaka unaleta maradhi nyumbani hii pia sio poa.

3. Usipigwe na ndugu wa mumeo, mwanamke anaeliwa na ndugu wa mumewe ni kama hana kichwa hii ni aibu.

4. Jitahidini kufanya siri, sio unaliwa nje mpaka watoto wadogo wanajua kuwa mke wa fulani analiwa na Fulani (tena hii jitahidini kuizingatia sana), maana unajizalilisha wewe, mumeo mpaka kwa watoto wenu.

5. Usitoe mzigo njiani, polini au sehemu yoyote isiyofaa kwa kujamiana.

7. Hata kama jamaa wa nje anakukaza vizuri zaidi ya mumeo, usiache kumuheshimu mumeo, kumbuka hata ndege hufurahia kula papai lililo kwenye mti wake kuliko lile ambalo limeshatolewa kwenye mti.

8. Hakikisha ratiba zako za kugongwa huko nje haziharibu ratiba za nyumbani.

9. Usinywe pombe siku umeenda kuchepuka.

10. Usijimake up sana siku ya kuchepuka, jimake up kawaida, mumeo asishituke.

MCHEPUKO MWEMA
Ushauri Wa kindezi huu.
 
Hata kama jamaa wa nje anakukaza vizuri zaidi ya mumeo, usiache kumuheshimu mumeo, kumbuka hata ndege hufurahia kula papai lililo kwenye mti wake kuliko lile ambalo limeshatolewa kwenye mti

Tatizo huja pale mwanaume anapomdharau mkewe na kumwona si lolote. Mke nae hupenda kuonyesha kuwa anathamani.
 
Ushauri Wa kindezi huu.
Sio wa kindezi,hii kitu haikwepek kwasasa,n heri adabu iwepo.

Mimba za utoton limekuwa tatzo,Kuna wazazi sasa wanawadunga watoto wao sindano za uzazi wa mpango baada ya kuona watoto hawawez acha ngono,
 
Kuna jamaa mkewe alikuwa analiwa...wakamwambia una kifua tukuonyeshe walipo na jamaa ila usifanye varangati, una kifua? Jamaa akasema anacho...

Wakampekeka getto sehemu ya tukio....kuchungulia dirishani jamaa akawaambia mkewe si kiwete....akakataa kata kata.....

Jamaa alivyomkunjua...huku nje jamaa akaaguka chali - kimya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Mkuu unasemaje kugongewa sio tatizo..!???
 
Back
Top Bottom