Kugongewa mke inauma sana

Kugongewa mke inauma sana

Tumwambie waachane,then baadae tuje kuonekana sasa ndio nuksi? 😅😅
😀😀😀 Kabisa.

Yaani mtu akisalitiwa hahitaji afanyiwe maamuzi. Akae chini apime hali yeye mwenyewe asamehe au waachane

Hapo si wazazi, si ndugu wala marafiki, si viongozi wa dini, si mwanasheria wa kumruhusu amfanyie maamuzi.
 
Yeah, ili chochote utakachoamua kiwe ni juu yako
 
Back
Top Bottom