Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,010
- 60,472
Naabudu nyumbani mie.Liz mambo! Sikuoni kanisani siku hizi.
Naabudu nyumbani mie.Liz mambo! Sikuoni kanisani siku hizi.
Muulize "ze tumbili" jinsi "katelephone" alivyomuharibia hadi ndoa challiii! Katelephone hazeeki bhana ni picco kwenye nywele kwa kwenda mbele! PISI zina mkubali!Habari za wakati huu ni mbaya..
Mimi nacho jua wanawake hawaridhiki kabisa hata umpe nini haridhiki.
Ushahidi ni mimi mwenyewe na usipo kua makini atakuliza sana, kikubwa ni kuomba tu Mungu usigongewe mke sababu inauma sana na mke anauma sana aisee najua maumivu yake mimi eti.
Na kingine hata ikitokea umegongewa mkeo omba usijue na ikitokea umejua omba nguvu ya kuhimili hayo maana ni mbaya sana unaweza ukawa kichaa kwa muda au ukauwa kama una moyo mwepesi
NB: Mwanamke anagongwa huko nje alafu anakuja kukuambia eti nisamehe ni tamaa zangu tuu za kimwili. Kweli wanawake tuoneeni huruma wanaume tumebaki wachache sana
Hapa unataka kuwatonesha vidondo waliooa.Jamaa lilianza na doggy style wakati mume anaanzaga na missionary
maumivu yake ni zaidi ya kujikwaa kidole kwenye jiwe.
Nipo mwenyekiti!!, itabidi nije kukusalimu Leo kwenye kile kikao chetu!!Katibu upoo??? Kimya sana katibu
Karibu sana ,, Fanya hivo katibu tumekumiso mnoo!!Nipo mwenyekiti!!, itabidi nije kukusalimu Leo kwenye kile kikao chetu!!
Pumbafu sana,tena nyoko sanaNikiona mwanaume kaguswa panapouma nafurahi![]()
Kwenye kikao tulikubaliana kuwa kugongewa ni siri ya ndani..!! Iweje uiseme hadharani.!!??

😀😀😀nasema nafurahi saaanaPumbafu sana,tena nyoko sana
Kuna tukitu kinatembea kwa AKILI yangu kinaniambia mie sina😀🤓, Ngoja niende kwa mwamposa nikachukue maji ya baraka nikikemee😂😂, Ila nachukia hilo neno ishini nao kwa AKILI!!( women take advantage of it)Ishini nasi kwa akili kama hauna usioe
Wenye akili hawapati tabu na sisi ila wasio na akili sasa😂😂😂Kuna tukitu kinatembea kwa AKILI yangu kinaniambia mie sina😀🤓, Ngoja niende kwa mwamposa nikachukue maji ya baraka nikikemee😂😂, Ila nachukia hilo neno ishini nao kwa AKILI!!( women take advantage of it)
Umefeli bwashee, hivi wewe ni kipi utakacho mpatia aridhike ambayo hakuwai kupata kwao?Habari za wakati huu ni mbaya..
Mimi nacho jua wanawake hawaridhiki kabisa hata umpe nini haridhiki.
Ushahidi ni mimi mwenyewe na usipo kua makini atakuliza sana, kikubwa ni kuomba tu Mungu usigongewe mke sababu inauma sana na mke anauma sana aisee najua maumivu yake mimi eti.
Na kingine hata ikitokea umegongewa mkeo omba usijue na ikitokea umejua omba nguvu ya kuhimili hayo maana ni mbaya sana unaweza ukawa kichaa kwa muda au ukauwa kama una moyo mwepesi
NB: Mwanamke anagongwa huko nje alafu anakuja kukuambia eti nisamehe ni tamaa zangu tuu za kimwili. Kweli wanawake tuoneeni huruma wanaume tumebaki wachache sana
ExactlyWenye akili hawapati tabu na sisi ila wasio na akili sasa😂😂😂
Kama hauna akili usioe, kataa ndoa wote wanajijua hawana akili ndo maana hawataoa, tuipunguzie serikali mizigo isiyo ya lazima
😂😂🤣🤣🤣🤣🤣 Ngoma ngumu hio, hata baunsa analegea akiskia kagongewa.
Kuna swali fikirishi kwenye kichwa changu huwa najiuliza "Je walioshindwa kwenye ndoa zao WOTE HAWANA AKILi??, je mwanamke sio kiumbe mwenye utashi na maamuzi yake??, na nyie hampaswi kuishi nasi kwa AKILI!!, coz mazuri au mabaya yote tunayoweza kutenda na nyie mnaweza kutenda!!Wenye akili hawapati tabu na sisi ila wasio na akili sasa😂😂😂
Kama hauna akili usioe, kataa ndoa wote wanajijua hawana akili ndo maana hawataoa, tuipunguzie serikali mizigo isiyo ya lazima
Ndo maana mlisisitizwa kutumia akili, tuna akili kuwazidi nyieKuna swali fikirishi kwenye kichwa changu huwa najiuliza "Je walioshindwa kwenye ndoa zao WOTE HAWANA AKILi??, je mwanamke sio kiumbe mwenye utashi na maamuzi yake??, na nyie hampaswi kuishi nasi kwa AKILI!!, coz mazuri au mabaya yote tunayoweza kutenda na nyie mnaweza kutenda!!
Ushaleft group nini ushawahi mwanamke kaolewa na wanaume wanneHili swali wanaume wengi hatulitaki kwa sababu tumeshajiwekea sheria kuwa mwanaume ni ruksa kuchepuka lakini mwanamke ni hapana. Na mbaya zaidi wanaume wanaopenda kuchepuka sana wana wivu siyo mchezo.
Yap!! Me naamini kila kiumbe Mungu alikipa AKILI, kuishi kuliziana, ukimpata wa ubavu wako wala hutumii nguvu kubwa kuishi naye!!, Ila ukichanagaya mafaili ya Tako , ndo utajua PHD yako yote na pesa zako hazifui dafu. Goodnight mkuu!Ndo maana mlisisitizwa kutumia akili, tuna akili kuwazidi nyie
Ila kweli wanaume hatuumii kugongewa mke machungu unatoboka cash kumtunza mkeo kitu kinakuja kuipiga burebureHamna kitu kinauma kama ugongewe demu ambaye umebeba majukumu yote kwake. Unamlisha, kumvisha na kumgharamia starehe zake zote.
Braza usiombe, maumivu yake ni zaidi ya kujikwaa kidole kwenye jiwe.
Asante na kwako piaYap!! Me naamini kila kiumbe Mungu alikipa AKILI, kuishi kuliziana, ukimpata wa ubavu wako wala hutumii nguvu kubwa kuishi naye!!, Ila ukichanagaya mafaili ya Tako , ndo utajua PHD yako yote na pesa zako hazifui dafu. Goodnight mkuu!