Kugongewa mke inauma sana

Kugongewa mke inauma sana

Habari za wakati huu ni mbaya..

Mimi nacho jua wanawake hawaridhiki kabisa hata umpe nini haridhiki.

Ushahidi ni mimi mwenyewe na usipo kua makini atakuliza sana, kikubwa ni kuomba tu Mungu usigongewe mke sababu inauma sana na mke anauma sana aisee najua maumivu yake mimi eti.

Na kingine hata ikitokea umegongewa mkeo omba usijue na ikitokea umejua omba nguvu ya kuhimili hayo maana ni mbaya sana unaweza ukawa kichaa kwa muda au ukauwa kama una moyo mwepesi

NB: Mwanamke anagongwa huko nje alafu anakuja kukuambia eti nisamehe ni tamaa zangu tuu za kimwili. Kweli wanawake tuoneeni huruma wanaume tumebaki wachache sana
Kama ni kweli Pole.

Ww hujawahi kumsaliti ?

Kinachokuumiza ni kumuamini sio kukusaliti.

Nimekua Nina mashaka na hizi thread za kusalitiwa humu.

Kusalitiwa ni kama kuumwa ugonjwa Fulani ambao mtu mmoja unaweza kukupata na mwingine usimpate katika maisha yake.

Kinga ni Bora kuliko tiba, you don't have to trust anyone except you, Hio itakuwa bima Yako kwa ajili ya issues za mahusiano sio tu ya mapenzi hata marafiki, ndugu,jamaa na majirani. Pigo linalouma ni kutoka kwa unaemuamini. Live your life Man .
 
Hahahahahah sahizi ndio nimeconnect dotz zee huni sana lile 🤣🤣🤣
Mzazi mwenza na Woodland
Screenshot_20230305_121449_YouTube.jpg
Screenshot_20230305_121419_YouTube.jpg
 
Kugongewa kuna uma ukiwa wewe ni limbukeni wa mbunye , napinga ndoa kabsa ila nawashauri wenye ndoa wafundisheni wake zenu mapenzi slama na matumizi ya kinga kwa sababu kugongewa hakukwepeki wakuu.
 
😅😂 TUKIWAAMBIA ACHENI KUKIMBILIA NDOA HAMSIKII, ISINGEKUUMA WALA KUKUSUMBUA MOYO KAMA UNGEKUA UMEZAA NAYE UMEMTELEKEZA HUKO MBALI KAZI YAKO INGEKUA KUMTUNZA MTOTO NA KUMSOMESHA NA KUMCHUKUA UNAPOHITAJI KUKAA NAYE... Vijana mtakufa na presha visukali na hizo ndoa zenu... How comes unaishi na mwanamke ambaye unajua ametrombwa nje, How comes guys..? Ni mama yako huyo kwamba ukimuacha hupat mwingine..? Mwanamke wa hivyo huwez kuwa na amani kila ukimvua nguo umle unakumbuka kuna jamaa anapita ninapopita 😂😅
 
Sema ka roho kanauma sana ukiona umepigiwa, na shida hujui jamaa amepiga mapigo gani yani.. 😅😅😅 mikunjo aliyokunjwa aki imagine tu moyo paaa
Hahahahah mtoto katoa miguno yote ya kimisuguano 🤣🤣🤣! Mwisho kakukandia sana kuwa hujui kitu yani na kaahidi kuwa atakuwa anaipeleka mbunye kwa baharia mara 4 kwa mwezi.
 
Back
Top Bottom