Kugongewa mke inauma sana

Kugongewa mke inauma sana

Habari za wakati huu ni mbaya..

Mimi nacho jua wanawake hawaridhiki kabisa hata umpenini haridhiki... Ushahidi ni mimi mwenyewe na usipo kua makini atakuliza sana.. kikubwa ni kuomba tuu Mungu usigongewe mke cz inauma sana na mke anauma sana aisee najua maomivu yake mimi eti.. Na kingine hata ikitokea umegongewa mkeo omba usijue na ikitokea umejua omba nguvu ya kuhimili hayo maana ni mbaya sana unaweza ukawa kichaa kwa muda au ukauwa kama una moyo mwepesi

Nb..mwanamke anagongwa huko nje alafu anakuja kukuambia eti ni samehe ni tamaa zangu tuu za kimwili. Kweli wanawake tuoneeni huruma wanaume tumebaki wachache sana
Baada ya kukwambia hivyo umechukua hatua gani?

Kama shida ni tamaa za kimwili, it means ww huwezi kuzitatua, ndio maana kaenda nje. Swali ni je, anavyoomba msamaha, lengo ni usimuache, anamaanisha kuanzia sasa utaweza kuzitatua?

Siwezi kukushauri Nini cha kufanya,uhamuzi ni wako. Ila kwa upande wangu, pakiwa na weakness iliyopelekea cheating ambayo naweza kuirekebisha, basi huwa narekebisha then maisha yanaendelea. Ila kama chanzo cha kucheat siwezi kukirekebisha, basi huwa tunapeana mkono wa kwaheri. Maana soon or later yatajirudia yale Yale, maana tatizo halikuwa solved.
 
Thubutuuu, mnachepuka Hadi tunajua.....mfano Kuna mtu namjua alimfuma mume anachepuka, wakayaongea yakaisha, kumbe mume anaendelea na yule mchepuko....imepita miaka mitatu anagundua mume bado yupo na yule mchepuko.....bibie kuondoka hawezi anadai watoto watateseka......Sasa hapo akichagua mmoja kati ya wanaomtongoza akaamua kumsusia hotel apoze machungu, atalaumiwa?😂
Mi nakwambia jinsi ambavyo mtu anampenda mkewe lazma atafanya hilo kijasusi mno.

Kukamatwa ni ajali kazini tu ila ukifanya ujasusi wa kutosha ni asilimia chache mno za kufumwa.

Huyo mke mi nashauri nae aweze tu kujipongeza na kablaza kaka. Maana maumivu yakizidi kumuona daktari ni swala mtambuka.
 
Yupi huyo hahahhahahahahahhahahahhshahshahahahshhshahsahaha ?
Yule uliyekuwa unamwita muthafaka?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Hell yeah that little itty bitty short azz muthafucka mane!!! Hivi yupo bado au ulishamkick to the curbs 😀
 
Mngekuwa mnachepuka kwa siri sana tusingejua. Nyie mna siri gani mnachepuka wazi wazi yaani waaazi.

Ila nyie wanaume ni wazinzi sana sijui mna shida gani. Yaani nyie msione mwanamke tu nyege zimewashika. Msisafiri hata mlale lodge wenyewe mkiona kitanda nyege zinawakamata.

Hivi mna nini nyie.?
Ok, sawa, sisi wanaume ni wazinzi sana, sawa..!! LAKINI JE, TUNAZINI NA AKINA NANI?
 
Baada ya kukwambia hivyo umechukua hatua gani?

Kama shida ni tamaa za kimwili, it means ww huwezi kuzitatua, ndio maana kaenda nje. Swali ni je, anavyoomba msamaha, lengo ni usimuache, anamaanisha kuanzia sasa utaweza kuzitatua?

Siwezi kukushauri Nini cha kufanya,uhamuzi ni wako. Ila kwa upande wangu, pakiwa na weakness iliyopelekea cheating ambayo naweza kuirekebisha, basi huwa narekebisha then maisha yanaendelea. Ila kama chanzo cha kucheat siwezi kukirekebisha, basi huwa tunapeana mkono wa kwaheri. Maana soon or later yatajirudia yale Yale, maana tatizo halikuwa solved.
Once a Cheater always a cheater
 
Comment yako iwekewe lamination tuisome kwenye kikao chetu WANAUME sio wavulana,
 
Back
Top Bottom