Kugongewa mke inauma sana

Kugongewa mke inauma sana

Habari za wakati huu ni mbaya..

Mimi nacho jua wanawake hawaridhiki kabisa hata umpe nini haridhiki.

Ushahidi ni mimi mwenyewe na usipo kua makini atakuliza sana, kikubwa ni kuomba tu Mungu usigongewe mke sababu inauma sana na mke anauma sana aisee najua maumivu yake mimi eti.

Na kingine hata ikitokea umegongewa mkeo omba usijue na ikitokea umejua omba nguvu ya kuhimili hayo maana ni mbaya sana unaweza ukawa kichaa kwa muda au ukauwa kama una moyo mwepesi

NB: Mwanamke anagongwa huko nje alafu anakuja kukuambia eti nisamehe ni tamaa zangu tuu za kimwili. Kweli wanawake tuoneeni huruma wanaume tumebaki wachache sana
Yaani binadamu mwingine,Tena mtu mzima,ahamue kuliwa kiungo chake,harafu wewe uumie??!maumivu yanakuja kwa sababu umeiambia akili yako kwamba huyu ni mali yangu hakuna mwingine mwenye haki ya kugusa!!jiondoe kwenye hiyo equation,ni hisia Fulani hv unaipata ni kama vile kudhalauliwa na mtoto wako,au watu unaowasimamia kikazi,ambao umejiambia una stahili wakupe heshima,wasipoitoa,unajisikia vibaya,badilisha jinsi ya kufikiri,mke akichepuka,wewe jiambie huyu katoa kitu chake,hakinihusu,
 
mkeo omba usijue na ikitokea umejua omba nguvu ya kuhimili
Wanaume wenzako hawawekezi kwenye mbususu wekeza kwenye familia na Mali zako hazina ya moyo wako basi. Mana kale katundu huwezi kutembea nako anaweza akaaamua kwenda popote pale anapotaka na hawezi kukaacha eti unakafungia chumbani.


Ukiwa unamuwaza binadamu mwenzako awe mkamilifu wakati wewe mwenyewe tamaa imeumbwa nazo Ni ngumu mkuu.


Angalia lengo la kuoa. Pia bila ya kukaza roho huwezi kuwa na familia utakuwa bachelor na uzeeni utasumbua majirani utakufa Kama mnyama.

Kaza roho uwe na familia kwani akigongwa kimeondoka si kipo ama huwa kunapungua uzito
 
Mkuu nakutumia namba ya mke wangu. Wewe mpige saundi afu unitonye siku na eneo utakalo kwenda kula mbususu. Usijali nitakuhakikishia usalama siku ya ugoni sitokuja na mafuta wala manati ya mzungu. Nikikumata ugoni basi nitaita mwenyekiti na mashahidi wawili watatu basi nitasepa zangu.😁
Umemchoka mwenzio unamtafutia sababu.
 
Back
Top Bottom