Kugongewa mke inauma sana

Kugongewa mke inauma sana

Unajua wanaume wanakosea sana kumlaumu aliye tembea na mke wako.Kitu ambacho huwa hatujiulizi ni kwamba Je?Mpaka mwanamke wako anamkubali huyo mwanaume mwenzako anakuchukuliaje.Mwanamke siyo mtoto mdogo mpaka anamkubali mwanaume mwingine na akili zake timamu huyo ndiye mwenye matatizo.Hakuna haja wanaume kugombana hawajabakana wameridhiana mwenye shida ni huyo mke wako kama anajua ni mke wako kwanini akubali?
 
Demu tu inauma sembuse mke😭
….unajua unachat nae kumbe dume ndo linajibu dahhh
Kusalitiwa ni ishu nzito sana sio ya kuichukulia poa

Hebu fikiria jitihada walizofanya ili kukuficha usijue. Na je, usingejua?

Unafiki wa mpenzi wako usikute siku aliyotoka kugegedwa ndo siku aliyokufurahia kwelikweli

Jinsi alivyokuwa anakunjwa na ushirikiano aliompa

Hujui mara ngapi wameshakutana kugegedana

Gharama unazoingia kumtunza halafu jamaa anamega kisela

Risk ya magonjwa

Kuna mambo mengi utajiuliza kama una watoto je, kweli ni wangu?

Kusalitiwa tu kwenyewe ni dharau. Word on the street; "Jamaa kagongewa mke wake" dharau tosha kama wanavyodharaulika akina Nikki, Manara n.k
 
Maumivu ya kuchapiwa mnayakuza sana kila siku naawambia

Usimwache sasa maana ukimpata mwingine tena na yeye atachapwa
Kama utaona hautakuwa na maumivu ya moyoni endelea naye ila kama unaforce kuwa naye ukiogopa kumpoteza ila huku moyo unakuuma au unamtilia shaka hata ikitokea akichelewa kurudi, PIGA CHINI
 
Back
Top Bottom