Kugongewa mke inauma sana

Kugongewa mke inauma sana

Habari za wakati huu ni mbaya..

Mimi nacho jua wanawake hawaridhiki kabisa hata umpe nini haridhiki.

Ushahidi ni mimi mwenyewe na usipo kua makini atakuliza sana, kikubwa ni kuomba tu Mungu usigongewe mke sababu inauma sana na mke anauma sana aisee najua maumivu yake mimi eti.

Na kingine hata ikitokea umegongewa mkeo omba usijue na ikitokea umejua omba nguvu ya kuhimili hayo maana ni mbaya sana unaweza ukawa kichaa kwa muda au ukauwa kama una moyo mwepesi

NB: Mwanamke anagongwa huko nje alafu anakuja kukuambia eti nisamehe ni tamaa zangu tuu za kimwili. Kweli wanawake tuoneeni huruma wanaume tumebaki wachache sana
Omba ujue ila usipate ushahidi Wala kuthibitisha ili upate faraja
 
Ile kitu ni kama mswaki ,ukijua mtu amechovya inakuwa tabu sana kuchovya tena. Vipi mtoa mada umefanikiwa kumsamehe my wako?
 
Habari za wakati huu ni mbaya..

Mimi nacho jua wanawake hawaridhiki kabisa hata umpe nini haridhiki.

Ushahidi ni mimi mwenyewe na usipo kua makini atakuliza sana, kikubwa ni kuomba tu Mungu usigongewe mke sababu inauma sana na mke anauma sana aisee najua maumivu yake mimi eti.

Na kingine hata ikitokea umegongewa mkeo omba usijue na ikitokea umejua omba nguvu ya kuhimili hayo maana ni mbaya sana unaweza ukawa kichaa kwa muda au ukauwa kama una moyo mwepesi

NB: Mwanamke anagongwa huko nje alafu anakuja kukuambia eti nisamehe ni tamaa zangu tuu za kimwili. Kweli wanawake tuoneeni huruma wanaume tumebaki wachache sana
Mkuu pole umeamua nini , mrejesho
 
Hili swali wanaume wengi hatulitaki kwa sababu tumeshajiwekea sheria kuwa mwanaume ni ruksa kuchepuka lakini mwanamke ni hapana. Na mbaya zaidi wanaume wanaopenda kuchepuka sana wana wivu siyo mchezo.
Hata kuzaa nje mwanaume nazaa nje afu analeta mtoto hapohapo kwake na analazimisha kama utaki mtoto toka wewe. Ila mke akizaa nje ndoa mwisho hapohapo.
 
Habari za wakati huu ni mbaya..

Mimi nacho jua wanawake hawaridhiki kabisa hata umpe nini haridhiki.

Ushahidi ni mimi mwenyewe na usipo kua makini atakuliza sana, kikubwa ni kuomba tu Mungu usigongewe mke sababu inauma sana na mke anauma sana aisee najua maumivu yake mimi eti.

Na kingine hata ikitokea umegongewa mkeo omba usijue na ikitokea umejua omba nguvu ya kuhimili hayo maana ni mbaya sana unaweza ukawa kichaa kwa muda au ukauwa kama una moyo mwepesi

NB: Mwanamke anagongwa huko nje alafu anakuja kukuambia eti nisamehe ni tamaa zangu tuu za kimwili. Kweli wanawake tuoneeni huruma wanaume tumebaki wachache sana
Pole sana mkuu,Mungu akufanyie wepesi
 
Kama akili,mawazo,nguvu,na mwili wako uko kwa mkewe ndio lazima uumie.
Ila Sasa Kama umewekeza moyo wako mahala pengine unachukulia poa tu

Back
Top Bottom