Nikupe Siri, ukiwa unamtafutia mtu sababu huipati ng'o! We relax, jifanye umezidisha mapenzi, hapo unamuweka kwenye comfort zone...atajiachia na wewe utapata sababu.Yaani we acha tuu.
Nikupe Siri, ukiwa unamtafutia mtu sababu huipati ng'o! We relax, jifanye umezidisha mapenzi, hapo unamuweka kwenye comfort zone...atajiachia na wewe utapata sababu.Yaani we acha tuu.
Ndege mjanja hunaswa kwenye tundu bovu your time is comingHaiwezi tokea 😂😂 najua kukwepa mashambulizi yaani ikiwaka tu taa nyekundu nakaa kwa pasword
Nilishanasika imetosha 😂Ndege mjanja hunaswa kwenye tundu bovu your time is coming
Hata mimi jamani , sijui kwanini. Yaani nafarijikaaaNikiona mwanaume kaguswa panapouma nafurahi😀😀😀
Kile kidole ni noma 🤣🤣🤣 ushawahi jigonga hata na kona ya kitanda tuKidole cha mwisho
Mwanamke kujiliza umsamehe anakutia moyo tu ila kuna ambacho kimempeleka huko na hutakaa ukijue.Mwanamke akishaanza kugongwa nje hataacha huyo, hata aombe msamaha huku analia machozi ya kujaza pipa atarudia tu.
Uchaguzi ni wako umsamehe huku unajiandaa kuumia tena na kuja kutulilia hapa! au uachane nae kwa usalama wa afya yako ya mwili na akili.
Manake ukijua amegongelewa tena utajinyonga wewe unaonekana bado hujakomaa kuhimili vitu vizito.
Maumivu yake hayaelezeki sema huwa yanadumu kwa mda mfupi. Tofauti ya maumivu ya kidole na mapenzi ni muda tu. Kidole kinapoa haraka ila mapenzi 😂😂Kile kidole ni noma 🤣🤣🤣 ushawahi jigonga hata na kona ya kitanda tu
Halafu wanaonaga wakituambia hizo kazi za mama zao ndio watatuziba midomo.Wanaume wengi wanakariri kazi za mama zao hadi raha,
Uko sahihi kabisa tunachotakiwa wanaume kuacha kufunganisha nafsi zetu na sehemu za siri za wake zetu, tukiweza fundisha akili zetu ktk hili ziweze kuignore tutajikuta tunaishi maisha marefu mpaka tunaona wajukuu na vitukuu vyetu ila tukifatilia tutaishia kuona watoto wetu alafu wajukuu na vitukuu utavisikia ukiwa kaburini ni mkeo pekee tu ndo ataviona, hii technique wanawake wameimaster sanaYaani binadamu mwingine,Tena mtu mzima,ahamue kuliwa kiungo chake,harafu wewe uumie??!maumivu yanakuja kwa sababu umeiambia akili yako kwamba huyu ni mali yangu hakuna mwingine mwenye haki ya kugusa!!jiondoe kwenye hiyo equation,ni hisia Fulani hv unaipata ni kama vile kudhalauliwa na mtoto wako,au watu unaowasimamia kikazi,ambao umejiambia una stahili wakupe heshima,wasipoitoa,unajisikia vibaya,badilisha jinsi ya kufikiri,mke akichepuka,wewe jiambie huyu katoa kitu chake,hakinihusu,
Nawatafuta hao japo niwaone liveKwani wale waliosema "We tafta hela tu" vipi wanasemaje?
Ewaaaa unajiambia mwenzetu huko anatuwakilishaHata mimi jamani , sijui kwanini. Yaani nafarijikaaa
😀😀😀kumbe tayari😀😀😀Nilishanasika imetosha 😂
Labda uwe wewe 😂😀😀😀kumbe tayari😀😀😀
But hapana unahitaji zaidi
Shindwa pepoLabda uwe wewe 😂
😉 Vibaya hivyo mamaShindwa pepo