Wrevta
JF-Expert Member
- Jan 18, 2023
- 1,442
- 1,733
Acha kulia lia wewe. Unataka kuolewa au?Habari za wakati huu ni mbaya..
Mimi nacho jua wanawake hawaridhiki kabisa hata umpenini haridhiki... Ushahidi ni mimi mwenyewe na usipo kua makini atakuliza sana.. kikubwa ni kuomba tuu Mungu usigongewe mke cz inauma sana na mke anauma sana aisee najua maomivu yake mimi eti.. Na kingine hata ikitokea umegongewa mkeo omba usijue na ikitokea umejua omba nguvu ya kuhimili hayo maana ni mbaya sana unaweza ukawa kichaa kwa muda au ukauwa kama una moyo mwepesi
Nb..mwanamke anagongwa huko nje alafu anakuja kukuambia eti ni samehe ni tamaa zangu tuu za kimwili. Kweli wanawake tuoneeni huruma wanaume tumebaki wachache sana

