Mkuu me nahisi Kuna kitu hakipo sawa kwa Sasa TZ. na nchi nyingi za Africa
1) Masharti ya Mikopo kusapoti mapenzi ya jinsia moja
2) Video ya Afande kusambaa mitandaoni
(nani alieivujisha ? Na ushahidi upi unaotafutwa )
3) Feminism na maboresho ya 50/50
4) Tamko la mufti wa Tanzania kutaka mashekh na serikali kuzuia ushoga (mtazamo Wangu ni kuupa exposure)
5)watu wa upinde na agenda za kataa Ndoa, na hizi thread za kusalitiwa kwenye social media nyingi
6) matukio ya kuvuja video za mastaa na vipicha picha vya kuonyesha tupu zao (Kuna aliekamatwa ?)
NB: Hakuna kipya chini ya jua, kinachofanyika ni promo, ku-promote Uzinzi, ushoga na usagaji. Nahisi fungu lishaingia Tz

.
VITA BADO MBICHI
#VINAPEWA PROMO. Vilikuwepo.