Wilfred Ramadhan
JF-Expert Member
- Apr 7, 2022
- 503
- 909
Na yeye atafute wa mtu achape tit for tatNoma sana hana hamu.
Na yeye atafute wa mtu achape tit for tatNoma sana hana hamu.
Mahakamani hawatakubali mkuu. Usijali utakuwa salama, au unaonaje nikulipe baada ya kukukamata ugoni?Mi nakupa na spy app kabisa ili uone kila hatua mpaka jinsi atavyotafunwa ili mambo yasiwe mengi. Vijana wangu watakuwa around kuhakikisha usalama wa shughuli nzima.
Sio kweli /Hata uwe na pesa bado analiwa, yaani kugongewa inaumiza, unaweza kufa au kujiua.
Kuna sehemu kwenye biblia uliona mwanamke akiolewa na mme zaidi ya moja?Wao wanagonga nje balaa, wanawake Wala hatuchanganyikiwi hivi.....ila sisi tukisema tuonjeshe nje kidogo tu wanapagawa🤣
Aisee kupitia haya maelezo yako, kwa kweli wanawake wanatakiwa kuwa na huruma.Habari za wakati huu ni mbaya..
Mimi nacho jua wanawake hawaridhiki kabisa hata umpe nini haridhiki.
Ushahidi ni mimi mwenyewe na usipo kua makini atakuliza sana, kikubwa ni kuomba tu Mungu usigongewe mke sababu inauma sana na mke anauma sana aisee najua maumivu yake mimi eti.
Na kingine hata ikitokea umegongewa mkeo omba usijue na ikitokea umejua omba nguvu ya kuhimili hayo maana ni mbaya sana unaweza ukawa kichaa kwa muda au ukauwa kama una moyo mwepesi
NB: Mwanamke anagongwa huko nje alafu anakuja kukuambia eti nisamehe ni tamaa zangu tuu za kimwili. Kweli wanawake tuoneeni huruma wanaume tumebaki wachache sana
Kapitie ule Uzi unaotaka wahudumu wa guest wapewe tuzo😂😂Mngekuwa mnachepuka kwa siri sana tusingejua. Nyie mna siri gani mnachepuka wazi wazi yaani waaazi.
Ila nyie wanaume ni wazinzi sana sijui mna shida gani. Yaani nyie msione mwanamke tu nyege zimewashika. Msisafiri hata mlale lodge wenyewe mkiona kitanda nyege zinawakamata.
Hivi mna nini nyie.?
Mie full shangweovyo kabisa mambo yako
Muwe na huruma kwa kweli. Maana wanaume tumebakia wachache. Msitulazimishe kuchukua maamuzi magumu ya kujinyonga.Njaa inaniuma mie ngoja nikanywe chai.....ndoa bhana!🤭
😀😀😀😀naskia raha sio kila maumivu me nashangilia maumivu ya mapenzi si mnajufanyaga magwijisasa unafurahia maumivu ya mtu mwingine? Unafaidika na nini
Mwanaume kamili hawezi kukia lia eti kisa kagongewaAisee kupitia haya maelezo yako, kwa kweli wanawake wanatakiwa kuwa na huruma. Maana wanaume kamili kwa sasa tuko wachache ukilinganisha na zamani. ☹️
Alichokisema mtoa mada kina ukweli. Kugongewa kunauma. (Nimeshuhudia kwa watu kadhaa walio umizwa na mapenzi).Mwanaume kamili hawezi kukia lia eti kisa kagongewa
We Huey ndio refa??Kataa ndoa 13 - 2 Oa.
Goal difference 11+
Kuna jamaa aliwahi kwenda kupiga chabo demi wake akiliwa alivyoona demi alivyokunjwa jamaa akaangua kilio eti mbona Mimi simkunji hivyo😂😂😂Tatizo sio kugongewa tu wengine wanatoa mapaka kile asichokupa yaan kwako anabana hatoi tigo akienda kugongwa nje hadi tigo anagawa bure kabisa, hapo sasa ndipo walume wanapocharuka.. kuna mzee aliwahi kuniuliza unajua mwanamke anachofamywa na mwanaume mwingine?
Yaan kile asichokupa mkiwa ndani ndicho anachompa mwanaume mwingine.. wewe haumzibui mtaro na anakugomea usimguse huko ila anaenda kwa mwanaume mwingine anamwambia ampakue mtaro, ushaelewa hapo?
Chanzo cha maumivu ndio hicho alafu jamaa anaempakua mkeo akikuona anakudharau tu maana anakuona km fala mmoja hivi
I am not a referee but sometimes I have 'refereeic' dreams. Like the one where I had to speak at a wedding party.We Huey ndio refa??
Punguza hasira mrembo; asikuharibie weekend mu ignore TUWewe ni mwanaume? Kweli?
Ooh sorry sikujua. Ujue you sound like a desperate pathetic woman.
Sasa badala ya kutukana watu lifanyie kazi hilo tatizo lako.