Kugongewa mke inauma sana

Kugongewa mke inauma sana

Ukimsamehe ndio utakuwa umejimaliza zaidi, piga moyo konde kisha uende mbele. Ninaamini kabisa huyo aliyemgonga hawazi kuwa nae baada ya wewe kumtimua na hata akiwa nae hakuna mapenzi hapo kwahiyo mwenye odds za kuteseka ni huyo malaya.

Kuwa Mwanaume, achana na huyo malaya, achana na visingizio vya watoto.
 
Sasa mwanamke ana pesa zake unamrubuni vipi kwa pesa?

Ina maana new generation nguvu ya ushawishi ni somo gumu kwao?
Alae na kipofu hamshiki mkono.

Kuna mahali wanafeli ila bado hawajagundua kwahiyo tuwaache waendelee kumwaga pesa mtaani uchumi uimarike 😆😆
 
Back
Top Bottom