Hannah
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 10,146
- 41,401
Kawaida mbonaMwe! Ulitendwa nini?
Kawaida mbonaMwe! Ulitendwa nini?
mkuu mbona ghafla namna hii kama gari za mwendokasi...?Habari za wakati huu ni mbaya..
Mimi nacho jua wanawake hawaridhiki kabisa hata umpenini haridhiki... Ushahidi ni mimi mwenyewe na usipo kua makini atakuliza sana.. kikubwa ni kuomba tuu Mungu usigongewe mke cz inauma sana na mke anauma sana aisee najua maomivu yake mimi eti.. Na kingine hata ikitokea umegongewa mkeo omba usijue na ikitokea umejua omba nguvu ya kuhimili hayo maana ni mbaya sana unaweza ukawa kichaa kwa muda au ukauwa kama una moyo mwepesi
Nb..mwanamke anagongwa huko nje alafu anakuja kukuambia eti ni samehe ni tamaa zangu tuu za kimwili. Kweli wanawake tuoneeni huruma wanaume tumebaki wachache sana
Mi siku hizi mkavu sina utelezi.Mpe utelezi jamani hannah
Nyie ndio yakiwakuta hata kusema hamuwezi, mnaacha wosia Kisha mnajinyonga 😅Kugongwa agongwe yeye we unaumia vipi, itakuwa una matatizo bro
Sasa ukipata kidume anakupa hela ya vikona sii ndio stress zitapungua na utelezi utarudiMi siku hizi mkavu sina utelezi.
Vikoba haviwezi niruhusu ni catch feelings.
😅😅😅😅Njaa inaniuma mie ngoja nikanywe chai.....ndoa bhana!🤭
Wanaume hatuwezi kuwa na pesa, nguvu za kiume, na mda kwa wakati mmoja vitu ambavyo wanawake wana vihitaji kutoka kwetu kwa wakati mmoja.Habari za wakati huu ni mbaya..
Mimi nacho jua wanawake hawaridhiki kabisa hata umpenini haridhiki... Ushahidi ni mimi mwenyewe na usipo kua makini atakuliza sana.. kikubwa ni kuomba tuu Mungu usigongewe mke cz inauma sana na mke anauma sana aisee najua maomivu yake mimi eti.. Na kingine hata ikitokea umegongewa mkeo omba usijue na ikitokea umejua omba nguvu ya kuhimili hayo maana ni mbaya sana unaweza ukawa kichaa kwa muda au ukauwa kama una moyo mwepesi
Nb..mwanamke anagongwa huko nje alafu anakuja kukuambia eti ni samehe ni tamaa zangu tuu za kimwili. Kweli wanawake tuoneeni huruma wanaume tumebaki wachache sana
Hii mkuu tunaita Mamba MentalityNAKAZIA,na uzi ufungwe
Kiukweli hilo la kugongewa sahiv haliwez nisumbua sana,hata ikitokea nitalichukulia simpo tu
Kama hana hela njoo kwangu basi kwani vicoba unadiwa kiasi gani kwa mwaka nilipe u ipe utelezNdiyo utelezi utarudi. Lakini unadhani Extrovert ana hela basi?
SawaNyie ndio yakiwakuta hata kusema hamuwezi, mnaacha wosia Kisha mnajinyonga 😅
DuhhWao wanagonga nje balaa, wanawake Wala hatuchanganyikiwi hivi.....ila sisi tukisema tuonjeshe nje kidogo tu wanapagawa![]()
Malaya at workKama mimi. Yaani hapa nasoma hii mada nikichekelea meno yote nje.
Hahahaha ingekuwa kweli ningefurahi.Kama hana hela njoo kwangu basi kwani vicoba unadiwa kiasi gani kwa mwaka nilipe u ipe utelez
Time heals everything.
Changudoa wewe.Malaya at work
Wanaume wanakuwaje Changudoa hahahaChangudoa wewe.
Kama vipi lete mzigo ni uchakateChangudoa wewe.