Kugoma kula ni suicide mission, kwanini asishitakiwe?

Kugoma kula ni suicide mission, kwanini asishitakiwe?

Jeshi letu sijui ni la namna gani. Mandela alipokuwa mfungwa, aliweza kujisomea na hata kupata shahada yake ya pili ya sheria akiwa gerezani. Najaribu kufikiria, hivi kuna uwezekano wa mfungwa wa Tanzania kupata japo certificate tu akiwa gerezani chini ya hawa askari wetu?

Tunapenda sana kujionesha kuwa ni nchi ya kidemokrasia na inayowajali watu wake lakini kiuhalisia tupo mbali sana kutoka uliko mwanga.
Sahau
 
Anayesaidiwa hachagui aina ya msaada ila anayesaidia aweza kuchagua aina ya msaada wa kumpa mhitaji msaada.

Okay, sasa kuna ubaya gani kuchagua kutokumshitaki mtu aliyetaka kujiua?

Lema amekuwa akitangaza haogopi kifo, anekuwa akitoa matamshi ya kualika kifo chake, siyo mara moja, ni mara nyingi tu.

Kwa hiyo?

Sasa ili kumsaidia asikitafte kifo kwa kutaka kwake, anashtakiwa kwa kosa hilo, na akithibitika kulitenda, anahukumiwa, baada ya kifungo atatoka ni mtu mwema.

Upu.mbavu mtupu.

Magereza zetu sio sehemu za adhabu bali ni rehabilitation & resocialisation agents. Hivyo lema atatoka ni mtu makini kabisa

Nadhani hapa umenithibitishia kile nilichokuwa nakiwaza kuhusu wewe.

Kwa heri.
 
HIVI TOKA WAPINZANI WAANZE KUKAMATWA KUNA YEYOTE AMESHAWAHI KUHUKUMIWA?...... Lema, Mbowe, Lissu n.k kila wakati wanakamatwa na hutuoni wakihukumiwa.

Haya ni matumizi mabovu ya rasilimali.
 
Hivi ni ushahidi upi huo ambao police wanahofia Lema "atauharibu" kama atapewa dhamana? Hizi bifu za kijinga sijui zitatufikisha wapi.
 
Lema ni kiongozi wa upinzani ninayeikubali sana ya siasa zake,Lema na Tundu Lissu wakianzisha chama ntakuwa wa kwanza kuchukua kadi bila hata kusoma Sera na itikadi zake
 
UKUTA Huooooooooooooooooo.... trh1 sept kamanda LEMA kaishaingia chaka bado wengine.
 
Akili nyingine bwana, sasa akigoma kula anamkomoa nani zaidi ya kuipunguzia serikali gharama za chakula.
 
Wana Jf wasalaam.

Baada ya Bwana Lema kukamatwa juzi na kuswekwa rumande kwa uchochezi amekuwa akigoma kula kwa kile anachodai hakuyendewa wakati anakamatwa.

Bwana Lema amesema atagoma kula hadi atakapoachiliwa huru jambo ambalo si hoja.

Kamanda wa polisi mkoani Arusha amesema kama ikithibitika Bwana Lema amegoma kula kwa sababu zisizo za msingi basi atafunguliwa shitaka la kujaribu kujiua ambalo ni kinyume na sheria.

Njia pekee ya Lema kukwepa mashitaka hayo ya kutaka kujiua ni kula.

Ni vyema chadema wakamshauri Lema kula chakula kwani kutokula kwake hakutofanya kuepuka mashitaka.. Ni wazi viongozi wa chadema wanaunga mkono kitendo cha Lema kugoma kula.

Karibuni wanajamvi.
Hajagoma; anahofia kuwekewa sumu kwenye chakula, labda ale mtu kati na kamanda wa mkoa ili kumtoa wasiwasi.
 
Akili nyingine bwana, sasa akigoma kula anamkomoa nani zaidi ya kuipunguzia serikali gharama za chakula.
Kama ni hivyo mbona RPC anaanza kubabaika na kuleta vitisho visivyokua na kichwa wala mguu? Eti "tutamshtaki kwa kutokula"...hivi mtu kama lema ambaye ameshaota sugu ya kezi za kipuuzi unafikiri eti atatishika na kauli kama hiyo? Hapo cha msingi wampe dhamana ambayo ni haki yake..kesi iendelee. au wampeleke mahakamani (ambapo bila shaka atapewa dhamana)...kesi iendelee. Simple.
 
Wana Jf wasalaam.

Baada ya Bwana Lema kukamatwa juzi na kuswekwa rumande kwa uchochezi amekuwa akigoma kula kwa kile anachodai hakuyendewa wakati anakamatwa.

Bwana Lema amesema atagoma kula hadi atakapoachiliwa huru jambo ambalo si hoja.

Kamanda wa polisi mkoani Arusha amesema kama ikithibitika Bwana Lema amegoma kula kwa sababu zisizo za msingi basi atafunguliwa shitaka la kujaribu kujiua ambalo ni kinyume na sheria.

Njia pekee ya Lema kukwepa mashitaka hayo ya kutaka kujiua ni kula.

Ni vyema chadema wakamshauri Lema kula chakula kwani kutokula kwake hakutofanya kuepuka mashitaka.. Ni wazi viongozi wa chadema wanaunga mkono kitendo cha Lema kugoma kula.

Karibuni wanajamvi.
Mh Lema na si bwana Lema,lusinde pamoja na mapungufu yake anaitwa mh,mpe heshima anayostahili bwana wako
 
Kujiua mkuu...
Kwani Mh. Anataka kujiua? Nani kakwamba? Duniani kuna njia nyingi za kudai haki hususani kwa mfungwa mfano milosovic na sadamu na wengne wengi walishawahi kugomea chakula. Kwa sisi tusiojua shera tutasema mengi lkn mkuu wa polis mkoa huo kama sijamnukuu vibaya amesema wanafanya uchunguzi na wakijua kama amegomea chakula kwa sababu zisizo za msingi basi watamfungungulia mashtaka ya kutaka kujiua. Kumbe kuna sababu za msingi na zisizo za msingi.

Ni hayo tu wakuu.
 
Hivi kwani wangapi wanaonewa lakini msosi wana attend,jamaa ana siri ka za mtungi, police baby kazeni uzi labda familia ingeligoma kula tungesikiliza lakini huyu jamaaa mmh itakuwa ngumu
 
Kaulize kwenye ubalozi wao....

Nikaulize kwenye ubalozi 'wao' akina nani, kwani wewe sio ubalozi 'wako'?

Yawezekana hukuelewa swali. Narudia kukuuliza wewe:

Na huko 'U.S.A baby' kuna hiyo Sheria ya kipu.mbavu?

-Kaveli-
 
Wana Jf wasalaam.

Baada ya Bwana Lema kukamatwa juzi na kuswekwa rumande kwa uchochezi amekuwa akigoma kula kwa kile anachodai hakuyendewa wakati anakamatwa.

Bwana Lema amesema atagoma kula hadi atakapoachiliwa huru jambo ambalo si hoja.

Kamanda wa polisi mkoani Arusha amesema kama ikithibitika Bwana Lema amegoma kula kwa sababu zisizo za msingi basi atafunguliwa shitaka la kujaribu kujiua ambalo ni kinyume na sheria.

Njia pekee ya Lema kukwepa mashitaka hayo ya kutaka kujiua ni kula.

Ni vyema chadema wakamshauri Lema kula chakula kwani kutokula kwake hakutofanya kuepuka mashitaka.. Ni wazi viongozi wa chadema wanaunga mkono kitendo cha Lema kugoma kula.

Karibuni wanajamvi.
Huyo kamanda wa Arusha hana jina?
 
Mimi naona tukichinjana kwanza ndio tutakuja kuheshimiana na kusikilizana kwa siku za usoni tawala za kiafrika zinakinaisha sana...
 
Mimi naona tukichinjana kwanza ndio tutakuja kuheshimiana na kusikilizana kwa siku za usoni tawala za kiafrika zinakinaisha sana...
Sasa huko unaenda mbali mkuu. Inabidi kila juhudi ifanywe ikiwezekana tusifike huko. Hebu ukipata muda nenda kigoma pale utembelee zile kambi za wakimbizi..ndio utaona madhara yake...ni kitu kibaya sana ambacho inabidi kiepukwe.

Sent from my SM-G7102 using JamiiForums mobile app
 
Hivi kwani wangapi wanaonewa lakini msosi wana attend,jamaa ana siri ka za mtungi, police baby kazeni uzi labda familia ingeligoma kula tungesikiliza lakini huyu jamaaa mmh itakuwa ngumu
Anachokifanya Lema kinaitwa hunger strike...na ni mbinu inayotambulika duniani kote ya kupinga dhulma. Wewe badala ya kuhoji sababu ya polisi kwenda kumkurupusha mbunge nyumbani kwake usiku wa manane kana kwamba ni gaidi...badala ya kuhoji sababu ya kumnyima dhamana wakati ni haki yake...eti unawaambia "wakaze kamba". Who bewitched us as a nation?!

Sent from my SM-G7102 using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom