Kugoma kula ni suicide mission, kwanini asishitakiwe?

Kugoma kula ni suicide mission, kwanini asishitakiwe?

Mkuu inakinaisha sana mbaka unaichukia nchi
Ni kweli mkuu...inakinaisha mpaka hata mimi saa zingine nasema liwalo na liwe...lakini baadae najirudi. Damu ikianza kumwagika wahanga watakua wewe na mimi..viongozi wote..wapinzani na serikali...watakwea pipa waondoke zao. Ndio maana nasema twende tu taratibu..nina imani tutafika.
 
Yaani huyu.jamaa utadhani ni msingidani.
Anayoyafanya yanatia shaka sana kisa kick.

Safari hakuna masheikh wataokaokwenda kumuomba ale
Mbona unalalamika kumzidi hata Mkewe Bi Neema ?
 
Okay, sasa kuna ubaya gani kuchagua kutokumshitaki mtu aliyetaka kujiua?



Kwa hiyo?



Upu.mbavu mtupu.



Nadhani hapa umenithibitishia kile nilichokuwa nakiwaza kuhusu wewe.

Kwa heri.
Ha ha ha nyani ngabu buana, haoni kundule[emoji3] [emoji125] [emoji125]
 
Yaani mwanaume anakataa kula!!! Anataka abembelezwe? Kwani amekuwa mtoto?
 
Mandela mbali na udhalimu aliofanyiwa sidhani kama aliwahi kujaribu mission hii! !?
Hii mission siyo sahihi!
 
mbeziboy said:
Anachokifanya Lema kinaitwa hunger strike...na ni mbinu inayotambulika duniani kote ya kupinga dhulma. Wewe badala ya kuhoji sababu ya polisi kwenda kumkurupusha mbunge nyumbani kwake usiku wa manane kana kwamba ni gaidi...badala ya kuhoji sababu ya kumnyima dhamana wakati ni haki yake...eti unawaambia "wakaze kamba". Who bewitched us as a nation?!

Sent from my SM-G7102 using JamiiForums mobile app
Ujue ni kitu kidogo wauze sera kwa wananchi wanaopiga kura na si kupambana na dora
 
Sasa kwanini unatoa Lawama kwa polisi wakati ni uchizi wa Lema kugoma kula?
Angalia sababu ya yeye kugoma kula ni nini?KWANI MTU ANASHIKILIWA NA CHA AJABU UNAONA KOSA LINADHAMINIKA LKN CHA AJABU UNASHANGAA UTAAMBIWA UPELELEZI UNAENDELEA,NA SI KWELI NI UTASHI WA KISIASA,SASA JESHI LETU ALITAKIWI LIWE HIVYO.
 
But mtuhumiwa ana haki ya kufikishwa mahakamani ndani ya saa 48! Mbona zimepita?
 
Wadau,

Tumeshuhudia wengi wakijirusha maghorofani na kujiua kisa madeni.

Tumeshuhudia wengine wakijinyonga kisa madeni.

Wanaonusurika katika haya maswahibu basi hushtakiwa.

Bwana Lema anadeni kubwa Arusha la kuwaletea wananchi maendeleo tena wa jimbo lake, yawezekana madeni pia yamemzidi au family issues.

Amekuwa akitoa matamshi ya kutaka taka kufa mara kadhaa lakini mimi natafsiri anachokifanya ni intentional ili atengeneze documentary 'zingaombwe' ili immense kisiasa au afe kwa njaa na wananchi wasimdai maendeleo aliyoahidi.

Kwanini asishtakiwe kwa hii attempt?

Acha maandishi ya watu wasiokwenfs shule. Quote any authority
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom