Wadau,
Tumeshuhudia wengi wakijirusha maghorofani na kujiua kisa madeni.
Tumeshuhudia wengine wakijinyonga kisa madeni.
Wanaonusurika katika haya maswahibu basi hushtakiwa.
Bwana Lema anadeni kubwa Arusha la kuwaletea wananchi maendeleo tena wa jimbo lake, yawezekana madeni pia yamemzidi au family issues.
Amekuwa akitoa matamshi ya kutaka taka kufa mara kadhaa lakini mimi natafsiri anachokifanya ni intentional ili atengeneze documentary 'zingaombwe' ili immense kisiasa au afe kwa njaa na wananchi wasimdai maendeleo aliyoahidi.
Kwanini asishtakiwe kwa hii attempt?
Mkuu hakuna mfano wowote wa maana aloonesha Lema hapo zaidi ya kutaka sifa za kijinga,sifa kama hizo walishamaliza kina Madiba...anachokifanya ni comedy tu.Inahitaji moyo wa mwendawazimu kuchukua mfano kwa mtu asiye jasiri na asiyeijali familia yake,angekuwa jasiri angevumilia shuruba za rumande,ili baadae atoke akaungane na familia yake na kama akiona bado inafaa akaendelee na huo UKUTA,pia angejaribu kuifikiria familia yake ambayo ndiyo inammiss zaidi wakati yuko huko wakati wenzake wanaopiga kelele kimachale wanakula kuku uraiani.Kwa taarifa yako Lema kaonyesha mfano na wengine sasa wataiga hivyo nyie endeleeni tu na umafia wenu.
Nenda kamfungulie mashtaka basiWadau,
Tumeshuhudia wengi wakijirusha maghorofani na kujiua kisa madeni.
Tumeshuhudia wengine wakijinyonga kisa madeni.
Wanaonusurika katika haya maswahibu basi hushtakiwa.
Bwana Lema anadeni kubwa Arusha la kuwaletea wananchi maendeleo tena wa jimbo lake, yawezekana madeni pia yamemzidi au family issues.
Amekuwa akitoa matamshi ya kutaka taka kufa mara kadhaa lakini mimi natafsiri anachokifanya ni intentional ili atengeneze documentary 'zingaombwe' ili immense kisiasa au afe kwa njaa na wananchi wasimdai maendeleo aliyoahidi.
Kwanini asishtakiwe kwa hii attempt?
Ngoja asote kwanza atakula tu njaa mchezo.
Na kama lengo lake Indio kufa kwa njaa basi imekula kwake atakufa kweli aandike urithi mapema
Wewe A rush a kwenu? Mmeuza jimbo kwa Mathayo.Sawa, kama ni hivyo ya Lema Mwachie Lema.
Na wewe utagoma kula? Waulize waislamu wanao funga ramadan watakueleza habari yake.Kwa taarifa yako Lema kaonyesha mfano na wengine sasa wataiga hivyo nyie endeleeni tu na umafia wenu.