spencer
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 3,599
- 3,226
Wadau,
Tumeshuhudia wengi wakijirusha maghorofani na kujiua kisa madeni.
Tumeshuhudia wengine wakijinyonga kisa madeni.
Wanaonusurika katika haya maswahibu basi hushtakiwa.
Bwana Lema anadeni kubwa Arusha la kuwaletea wananchi maendeleo tena wa jimbo lake, yawezekana madeni pia yamemzidi au family issues.
Amekuwa akitoa matamshi ya kutaka taka kufa mara kadhaa lakini mimi natafsiri anachokifanya ni intentional ili atengeneze documentary 'zingaombwe' ili immense kisiasa au afe kwa njaa na wananchi wasimdai maendeleo aliyoahidi.
Kwanini asishtakiwe kwa hii attempt?

Wana Jf wasalaam.
Baada ya Bwana Lema kukamatwa juzi na kuswekwa rumande kwa uchochezi amekuwa akigoma kula kwa kile anachodai hakuyendewa wakati anakamatwa.
Bwana Lema amesema atagoma kula hadi atakapoachiliwa huru jambo ambalo si hoja.
Kamanda wa polisi mkoani Arusha amesema kama ikithibitika Bwana Lema amegoma kula kwa sababu zisizo za msingi basi atafunguliwa shitaka la kujaribu kujiua ambalo ni kinyume na sheria.
Njia pekee ya Lema kukwepa mashitaka hayo ya kutaka kujiua ni kula.
Ni vyema chadema wakamshauri Lema kula chakula kwani kutokula kwake hakutofanya kuepuka mashitaka.. Ni wazi viongozi wa chadema wanaunga mkono kitendo cha Lema kugoma kula.
Karibuni wanajamvi.