Nina hakika wapinzani wameshayazoea mashitaka ya kipuuzi, hilo likiongezeka halitakuwa tatizo.Wana Jf wasalaam.
Baada ya Bwana Lema kukamatwa juzi na kuswekwa rumande kwa uchochezi amekuwa akigoma kula kwa kile anachodai hakuyendewa wakati anakamatwa.
Bwana Lema amesema atagoma kula hadi atakapoachiliwa huru jambo ambalo si hoja.
Kamanda wa polisi mkoani Arusha amesema kama ikithibitika Bwana Lema amegoma kula kwa sababu zisizo za msingi basi atafunguliwa shitaka la kujaribu kujiua ambalo ni kinyume na sheria.
Njia pekee ya Lema kukwepa mashitaka hayo ya kutaka kujiua ni kula.
Ni vyema chadema wakamshauri Lema kula chakula kwani kutokula kwake hakutofanya kuepuka mashitaka.. Ni wazi viongozi wa chadema wanaunga mkono kitendo cha Lema kugoma kula.
Karibuni wanajamvi.
Hapana Mkuu. Nadhani njia sahihi ya kumsaidia mtu aliyetaka kujiua ni kumshtaki na kumhukumu fasta adhabu ya kifoNi upu.mbavu kumshitaki mtu aliyetaka kujiua mwenyewe.
nalaani utwala wa kidikteta na mawakala wake Mungu atawaonyesha kuwa wao Ni binadamu hapahapa kabla hawajazikwaWana Jf wasalaam.
Baada ya Bwana Lema kukamatwa juzi na kuswekwa rumande kwa uchochezi amekuwa akigoma kula kwa kile anachodai hakuyendewa wakati anakamatwa.
Bwana Lema amesema atagoma kula hadi atakapoachiliwa huru jambo ambalo si hoja.
Kamanda wa polisi mkoani Arusha amesema kama ikithibitika Bwana Lema amegoma kula kwa sababu zisizo za msingi basi atafunguliwa shitaka la kujaribu kujiua ambalo ni kinyume na sheria.
Njia pekee ya Lema kukwepa mashitaka hayo ya kutaka kujiua ni kula.
Ni vyema chadema wakamshauri Lema kula chakula kwani kutokula kwake hakutofanya kuepuka mashitaka.. Ni wazi viongozi wa chadema wanaunga mkono kitendo cha Lema kugoma kula.
Karibuni wanajamvi.
1.Huyo RPC ana elimu gani?! 2. Alisomea wapi?! 3.Hivi hapo shule au chuo aliposoma palikuwa na madawati kweli?! 4. Hivi yeye ndiye DPP?!Wana Jf wasalaam.
Baada ya Bwana Lema kukamatwa juzi na kuswekwa rumande kwa uchochezi amekuwa akigoma kula kwa kile anachodai hakuyendewa wakati anakamatwa.
Bwana Lema amesema atagoma kula hadi atakapoachiliwa huru jambo ambalo si hoja.
Kamanda wa polisi mkoani Arusha amesema kama ikithibitika Bwana Lema amegoma kula kwa sababu zisizo za msingi basi atafunguliwa shitaka la kujaribu kujiua ambalo ni kinyume na sheria.
Njia pekee ya Lema kukwepa mashitaka hayo ya kutaka kujiua ni kula.
Ni vyema chadema wakamshauri Lema kula chakula kwani kutokula kwake hakutofanya kuepuka mashitaka.. Ni wazi viongozi wa chadema wanaunga mkono kitendo cha Lema kugoma kula.
Karibuni wanajamvi.
Akifa kwa njaa nani atakuwa amesababisha kifo chake?Kujiua mkuu...
Ni upumbavu kuacha watu wajiue wakati kuua ni jinai tena isiyo na dhamana. Pia kujaribu kuua nayo ni jinaiNi upu.mbavu kumshitaki mtu aliyetaka kujiua mwenyewe.
Ni upumbavu kuacha watu wajiue wakati kuua ni jinai tena isiyo na dhamana. Pia kujaribu kuua nayo ni jinai
Unajua kumshtaki mtu pia ni kumsaidia?Mtu anayefanya jaribio la kujiua siyo wa kumuadhibu.
Ni wa kumsaidia.
Kumshitaki kwa kosa la kutaka kujiua si kumsaidia.
Ni kumuongezea tu matatizo.
Unajua kumshtaki mtu pia ni kumsaidia?
Lema amedhalilisha sana wakati anakamatwa nyumbani kwake juzi. Siwezi kuandika huo udhalilishaji hapa JF. inahuzunisha sanaKamanda alifanywa nini?
Anayesaidiwa hachagui aina ya msaada ila anayesaidia aweza kuchagua aina ya msaada wa kumpa mhitaji msaada.Kwani huwezi kumsaidia bila kumshitaki?