Kugoma kula ni suicide mission, kwanini asishitakiwe?

Kugoma kula ni suicide mission, kwanini asishitakiwe?

We gamba ushawahi Sikia kitu kinaitwa HUNGER STRIKE
Wana Jf wasalaam.

Baada ya Bwana Lema kukamatwa juzi na kuswekwa rumande kwa uchochezi amekuwa akigoma kula kwa kile anachodai hakuyendewa wakati anakamatwa.

Bwana Lema amesema atagoma kula hadi atakapoachiliwa huru jambo ambalo si hoja.

Kamanda wa polisi mkoani Arusha amesema kama ikithibitika Bwana Lema amegoma kula kwa sababu zisizo za msingi basi atafunguliwa shitaka la kujaribu kujiua ambalo ni kinyume na sheria.

Njia pekee ya Lema kukwepa mashitaka hayo ya kutaka kujiua ni kula.

Ni vyema chadema wakamshauri Lema kula chakula kwani kutokula kwake hakutofanya kuepuka mashitaka.. Ni wazi viongozi wa chadema wanaunga mkono kitendo cha Lema kugoma kula.

Karibuni wanajamvi.
 
Ni vyema chadema wakamshauri Lema kula chakula kwani kutokula kwake hakutofanya kuepuka mashitaka.. Ni wazi viongozi wa chadema wanaunga mkono kitendo cha Lema kugoma kula.

Kwa hiyo na wale wanaokataa kula maharage washitakiwe pia?
 
Yeye anasema polic wamekosea kumfuata nyumban na watu wanashabikia eti ni muheshimiwa kwa nn wamfuate nyumban angeenda mwenyewe hamjui kuwa habari ya muheshimiwa iliishia kwa kikwete mbona sisi tunakamatwa nyumban na kudharirishwa kwani yeye ni nani hasa? Tuache ujinga hata waziri akikosea anakamatwa tu.
 
Anatafuta sababu ya kulazwa ili apishane na UKUTA maana akifikilia siku hiyo ni mpambano wa UKUTA na JWTZ.
 
Jeshi la polisi mkoani Arusha limesema kama mbunge wa Arusha mjini amegomea kula bila sababu ya msingi watamfungulia kesi ya kutaka kujiua.
Kwa mujibu wa meya wa Arusha mjini leo ni siku ya tatu toka mbunge huyo agome kula akiwa gerezani kupinga kukamatwa kwako.
Pengine aamefunga Novena na kusali
Jeshi la polisi mkoani Arusha limesema kama mbunge wa Arusha mjini amegomea kula bila sababu ya msingi watamfungulia kesi ya kutaka kujiua.
Kwa mujibu wa meya wa Arusha mjini leo ni siku ya tatu toka mbunge huyo agome kula akiwa gerezani kupinga kukamatwa kwako.
Labda kafunga Novena na kusali.
 
Wampe dhamana kwa nini wanamyima?
 
Mungu atafanya muujiza atafikisha siku arobaini kama yesu.....
 
Wana JF na Watz wenzangu,
Naomba modetators thread hii isiunganishwe na zilizotangulia kuzungumzia hali ya afya ya mhe.Lema ambaye leo ni siku ya 3 amegoma kula akidai haki yake ya Kikatiba kupewa dhamana.
Kulingana na taarifa zinazoendelea kutolewa hali ya mhe.Lema inazidi kuzorota na inaweza kuleta madhara ya kiafya hata kupoteza uhai!
Mimi binafsi namsihi na kumwomba Mhe.Rais atoe maagizo kwa IGP na RPC Mkoa wa Arusha ili Mhe. Lema apewe dhamana maana ni haki yake ya Kikatiba.Kosa la uchochezi halifanyi mtuhumiwa kunyimwa dhamana kwani hakuna madhara yoyote aliyosababisha kwa mtu yeyote.
Ikumbukwe kwamba kwa sasa Polisi wameanza kutafsiri vibaya hivo kupotodha maana halisi ya neno UCHOCHEZI. Tanzania ni nchi yenye mfumo wa vyama vingi na hivo mtu kuwa na mawazo tofauti na chama pamoja serikali iliyoko madarakani siyo uchochezi! Vitendo kama hivi na vingine anavyofanyiwa Mhe. Lema na Wabunge wengine wa upinzani vilikuwa vikifanywa na Serikali za makaburu huko South Afrika enzi za utawala wa Kibaguzi.Tanzania hatujafikia huko!

Kama hofu ni maandamano ya UKUTA tarehe 1 Septemba hivo kulazimisha Mhe.Lema akae mahabusu mpaka tarehe hiyo basi Jeshi la Polisi litakuwa limefanya uonevu na unyanyasaji usiomithilika kwa raia wake tena Mbunge!

Naomba kuwasilisha.
 
Wana Jf wasalaam.

Baada ya Bwana Lema kukamatwa juzi na kuswekwa rumande kwa uchochezi amekuwa akigoma kula kwa kile anachodai hakuyendewa wakati anakamatwa.

Bwana Lema amesema atagoma kula hadi atakapoachiliwa huru jambo ambalo si hoja.

Kamanda wa polisi mkoani Arusha amesema kama ikithibitika Bwana Lema amegoma kula kwa sababu zisizo za msingi basi atafunguliwa shitaka la kujaribu kujiua ambalo ni kinyume na sheria.

Njia pekee ya Lema kukwepa mashitaka hayo ya kutaka kujiua ni kula.

Ni vyema chadema wakamshauri Lema kula chakula kwani kutokula kwake hakutofanya kuepuka mashitaka.. Ni wazi viongozi wa chadema wanaunga mkono kitendo cha Lema kugoma kula.

Karibuni wanajamvi.
Rubbish hata hawa polisi ngumbaru hawaelewi kuwa wao ndio washitakiwa namba moja!! kwa huo udhalilishaji. Dictatorship rule polisi wanakuwaga majini tu!!
 
Nilikuwa sielewi pale Watu walipokuwa wanasema tuta miss Kikwete sasa nimeelewa kwa nini?-Mh. Godbless Lema akitetea Bunge kurushwa live Bungeni!
 
Hizi kauli za wakubwa wetu bwana huwasiwaelewielewi ukizifanyia analyisisi una ambiwa mchochezi,kama alizalilishwa wakati wa kukamatwa mbona hsemi wahusika watafanywa nini.?
Yeye anasema kufatwa kwake asubuhi ndio kudhalilishwa alitaka aende kwa muda wake..!
 
Ana haki kikatiba ya kugoma kula, tafadhali asiingiliwe uhuru wake.
 
Lema alishasema yupo tayari kutetea anachokiamini hata kama ni kwa damu yake ,Sasa nimeamini maneno yake
Sasa kwanini anasema amedhoofika wakati yuko tayari kufa?
 
Mwiguluu angalia chuki wanazozitengeneza askari kwa wananchi hivi wapiga kura wa lema watakuwa na mapenzi na askari, angalia hili bro. Waambie watende haki ni jambo jema kwa yeyote kumheshimu mwenzake
Sasa kwanini unatoa Lawama kwa polisi wakati ni uchizi wa Lema kugoma kula?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom