Kugegeda mara1 kwa wiki

chunguza bro apo kuna mwenzio anagegeda mara 5-6 kw wik
 
angalia asije akawa amekususia kwa sababu ya tabia zako mbaya za kukera...maana wanaume wa siku hizi wengi ni janga michepuko kila kona..akaona akususie tu...maana anajua unapoponeaa
 
Kama ulikua kichwani mwangu,wanaume wengi wa kiafrika ndio walivyo.ndio hawa wanajisifia nimegonga goli tano muulize mwenzio je? hajui,kwao mapenzi sio hisia ndio maana bila aibu eti nimelipa mahari pyuu
 

Mambo mengine hata sio ya kujisifia
 

Kwa hiyo unamkomoa
 
Ukiona hivyo ujue humfikishi unamchosha tu tafuta mbinu
 
Sasa mtu ukipanda unagusa gusa tuu hata hakuna la maana unalofanya, kwanini usipangiwe ratiba!!
 
Nijuavyo kazi ya mke ni kupika,kufua na kulea watoto.kugegedwa (kwa starehe)ni kazi ya michepuko.kugegedana mke na mume ni kwa lengo la kutengeneza watoto tu.

hahaha kumbe
 

Kama mko friendly ...jifunze kwenda chumvini kwa weledi wa hali ya juu na uvumilivu hata one hour....upande wangu ni best weapon ever.....iwe asubuhi au usiku....hizo za kubana nakukimbia zipo...ila tumia luga laini mpaka akybali kuzama chumvini na akikubali tu...kesha!
 
Last edited by a moderator:

Dah!kumbe hili tatizo wengi linawakuta duh!mimi mwanzoni nilikuwa nasema wanaume wanaochepuka wkt wameoa ni umalaya tu unawasumbua,kumbe duh!wanawake ni shidah!mi nachepuka tu saiv nshachoka mana hamna namna ni kuchepuka tu!
 
Angalia vitu gani anapendelea sana sana.Husimlazimishe mapenzi ,wewe toka naye out ,fanya shopping.Na wale husimwombe mapenzi.mletee zawadi kubwa ambayo alikuwa anaiongelea.alafu wewe endelea kama vile unatoka nje vile kwenda kuongea na marafiki zako.Husikae sana nyumbani.hukimletea zawadi ongea naye wewe lala mzungu wa nne.ongea vizuri na wala husiwe na hasira kabisa na wala kisasi.fanya maombi pia.Nakuambia haitapita week mbili hatakuwa na wivu sana na wewe.Unaendaga wapi??.Lakini ukimweza kwenye kumjali hii ndio muhimu sana.itakuja je unayaweza kitandani??.Naomba niwape ushauri kidogo kwa ninavyofikiri,lakini inawezekana hisifanya kazi kwa wengine.inabidi umtayarishe mke wako siku nzima kwa kuongea naye vizuri na sio kumkaripia ,unajua sisi wanaume ni kama madikteta yaani unaona ni haki yako kugegeda.hapana ni lazima wote muwe na kwenye mood ndio ugegedaji utakuwa na mtamu na madoido mengi.ukimtayarisha mke wako siku nzima,itamfanya mke wako hawe tayari ,yaani ana hamu kukuona mapema.utamwona anaangalia saa huyu naye kapitia wapi?,hii kweli ni foleni ya magari??.ukirudi nyumbani mbebee zawadi yoyote ,smile na mpe hiyo zawadi na mwambie zawadi yako hii mke wangu ,rafiki yangu ,mwili wangu,mama watoto wangu.alafu utakuta mkienda kitandani utatumia muda mwingi atakuwa ana
mefika ukingoni na pia mkuu jitahidi romance kwa karibu saa nzima hivi,bila kumwingilia.Ni kwa mawazo yangu.Ila husiende au kutafuta mchepuko sio solution kabisaa kwenye ndoa.ndio utapasua ndoa na familia,hata kama wewe umesikia mwenzako ana mchepuo ,ni jukumu lako kujisahihisha.strong man ni yule anayejisahihi na kujenga ndoa yake na sio anayekimbia ndoa yake.kumbia ndoa ni kuwa wewe hukufaa kuitwa mwanaume.
 
Wanawake wengi wakishaizoea ndoa huwa hivyo,sijui kwanini hawajui sisi wanaume neno sex ipo kila sehem ya ubongo wetu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…