Mkuu uko serious? Mkeo anakupa mara moja kwa wiki? Hata mchepuko hauwezi kunipa mara moja kwa wiki!Je ni halali unakuwa na mke ndani halafu anakupangia masharti ya kugegeda wakati mahari yote umelipa? Kilasiku oh nimechoka, ukitaka kuforce anabana miguu, yaani hadi upewe mzigo ni kama vile unaanza upya kutongoza, yaani najuuta kuoa. Je huu ni ungwana?
Je ni halali unakuwa na mke ndani halafu anakupangia masharti ya kugegeda wakati mahari yote umelipa? Kilasiku oh nimechoka, ukitaka kuforce anabana miguu, yaani hadi upewe mzigo ni kama vile unaanza upya kutongoza, yaani najuuta kuoa. Je huu ni ungwana?
Hiyo ndoa yenu mnaelewana sawasawa?
Wakwangu Anajua Kabisa Akipanda Bed Hana Pichu.Me Nataka Daily.Labda Awe Mgonjwa Lakini Kinyume Na Hapo Me Nalima Mpunga Daily.Jaribu Kumpiga Beat Mwangu Unaonewa Sana Na Ikibidi Nenda Kwa Wazazi.Ati Unasema Mara Moja Kwa Wiki??Yani Me Kila Akipanda Bed Kitu Kimekua Msumari Inata Kutelezer,
Tafuta mchepuko af huyo mpotezee na mpapuchi wake hata mwaka atajileta mwenyewe!!
Hizo bold zinaashiria (samahani kama nakukwaza) wewe ni mtu mkatili katili. Unacompare vipi kulipa mahari na kufanya hicho kitendo? Pili unaonyesha kubembeleza , kumwandaa mwanamke kwako hakupo kabisa eti ukijaribu kuforce? Tendo hilo ni la hisia , laanzia mbali hata kama mahusiano na maongezi yenu kama hampo pamoja katu hawezi kuwa na hamu.
Pia , yawezekana kabisa haridhiki na jinsi mnavyofanya na huonyeshi ushirikiano zaidi ya kujiridhisha wewe . Mwanamke akiwa na hisia hizo tu kuwa unapenda sex kwa ajili ya wewe mwanaume kupata haki baasi umeondoka mantiki nzima.
Na ujue kudadisi kama amechoka vaa viatu vyake anzisha maongezi umechoka na nini mpenzi? nikusaidiaje kupunguza uchovu nk ila kwa mtazamo huu wa enzi za mawe eti nimelipa mahari - wanawake wana safari ndefu sana - ndoa zimekaa kama jela .
Oh nooo...sometimes ni heri kuendelea kuwa na 'girlfriend' tu!