miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
Hiyo ndoa haipo aisee... unachapiwa au kama laaa basi amepata monopose
Ni haki ya mwanaume kula tunda hata kama yupo jikon anapika lazma a stop kuendelea kupika akagegedwe akimaliza ndiyo aendelee kupika
Kwa hiyo ulioa ili ugegede kila siku?
utakuwa unatwanga tu kama mahindi humuandai hyo ni sababu kubwa sana ya wanawake kuchukia tendo
Mzee mbona unanitia presha
Kuna wakati unakuwa na busara mpaka najuta kuchelewa kukufahamu....
Tafuta mchepuko af huyo mpotezee na mpapuchi wake hata mwaka atajileta mwenyewe!!
Je ni halali unakuwa na mke ndani halafu anakupangia masharti ya kugegeda wakati mahari yote umelipa? Kilasiku oh nimechoka, ukitaka kuforce anabana miguu, yaani hadi upewe mzigo ni kama vile unaanza upya kutongoza, yaani najuuta kuoa. Je huu ni ungwana?
Naona humtakii mema huyu mkuu. Akifanya hivyo ujue ndio atakuwa amekubali rasmi asaidiwe...
Hizo bold zinaashiria (samahani kama nakukwaza) wewe ni mtu mkatili katili. Unacompare vipi kulipa mahari na kufanya hicho kitendo? Pili unaonyesha kubembeleza , kumwandaa mwanamke kwako hakupo kabisa eti ukijaribu kuforce? Tendo hilo ni la hisia , laanzia mbali hata kama mahusiano na maongezi yenu kama hampo pamoja katu hawezi kuwa na hamu.
Pia , yawezekana kabisa haridhiki na jinsi mnavyofanya na huonyeshi ushirikiano zaidi ya kujiridhisha wewe . Mwanamke akiwa na hisia hizo tu kuwa unapenda sex kwa ajili ya wewe mwanaume kupata haki baasi umeondoka mantiki nzima.
Na ujue kudadisi kama amechoka vaa viatu vyake anzisha maongezi umechoka na nini mpenzi? nikusaidiaje kupunguza uchovu nk ila kwa mtazamo huu wa enzi za mawe eti nimelipa mahari - wanawake wana safari ndefu sana - ndoa zimekaa kama jela .