Caroline Danzi
JF-Expert Member
- Dec 19, 2008
- 3,714
- 1,269
alaf hii address ya u-bilionea, napata shida sana kuielewa
Kweli watu wakishakufa wanageuka watakatifu.
rubbish. muiteni bilionea huko kwenu. tuwekeeni "net worth" yake hapa tumpime kwa standards zinazotambulika kote duniani. Alikuwa anafanya shughuli gan kwanza??? ametoa ajira ngapi??
Hata nyinyi huwa mnafanya kufuru!Mmh, chakula cha kupimiwa hicho??
Kule kwetu misiba tunachinja ng'ombe hata 10 na mchele 'masefuria na masefuria'
Mkuu ni kumiliki assets zenye thamani isiyopungua bilioni moja!
Precisely mkuu!Kiongozi umeona hiyo eeeee!
Hakika ni MUNGU pekee ndiyo atakayewajua watakatifu wake!
Cha ajabu ni nini kama na wewe pia unaassets zenye thamani isiyopungua shilingi bilioni moja za Kitanzania!au mbaka wawe wachache ndiyo utaheshimu ubilionia wa baadhi ya watu?Then na mimi ni bilionea...
Teh teh teh!kwani mbaka uwe kwenye kumi bora ndiyo uitwe bilionia?je hicho ndiyo kigezo?hata mimi inanisumbua sana, huyo jamaa sijamuona hata kwenye top 10 wa kibongo. AU kumiliki ndege ndiyo ubilionea?Hizi zhule za uandishi wa habari za mwezi mmoja wangezifuta.
Teh teh teh!umeanza uzushi na uzandiki!ha haa kweli Bob Sambeke ni zaidi ya serikali ya JK.
mkuu hapa hakuna chuki,nazani hujaielewa vizuri hoja yangu!tumefikia huku? Mungu aturehemu na huu utamaduni wetu mpya wa kuwananga marehemu woote wa kaskazini! Kufuru ni vinywaji na vyakula kwenye msiba! Yaani hizi chuki sijui zitatufikisha wapi?
sawa mkuu nimefungua macho na nimeona!kwani shule za veta au chuo chochote kina faida gani kwa maskini wa kitanzania? Fungua macho mkuu, you are better than that!
Teh teh teh!mkuu acha kuchekesha watu walionuna!Hebu tuwekee picha
Ukute walikuwa wanakuwa ugali kwa samaki wa kuchora weeeeengi
Teh teh teh!kwani mbaka uwe kwenye kumi bora ndiyo uitwe bilionia?je hicho ndiyo kigezo?
Mkuu mimi sijataja ndege,mimi nimetaja kigezo cha ubilionia wa kitanzania!kwa hiyo kumiliki ndege ndiyo ubilionea?
Kama ni upuuzi kwanini na wewe unapoteza muda wako kuchangia?watanzania lini tutaacha upuuzi wa kujadili upuuzi????
Hata kama tunalima wenyewe,ukiwa mwingi zaidi ya kawaida ni kufuru mkuu!Eti jamani? Mbona mpunga tunalima wenyewe? Au?
Hebu tuwekee picha
Ukute walikuwa wanakuwa ugali kwa samaki wa kuchora weeeeengi
Hata kama tunalima wenyewe,ukiwa mwingi zaidi ya kawaida ni kufuru mkuu!