Lete uthibitishoKwa kufungia laini zaidi ya mil 15 ya watanzania ambao hawana nida serikali inapoteza zaidi ya 30% ya kodi.
Acha upunguani UK, kwanza line unainunua kwa kutumia bank card na bank card huwezi ipata bila kutoa id iwe driving licence, passport etc , hivyo kwa kutumia vitu hivyo tayari wameisha dukua taarifa zako. Tatu wanakuuliza post code yako na he no.hapo wanapata physical address ukifanya uhalifu unanyakuliwa kama drone imekufuata

Kutoa mfano wa hoja ni kigezo kimojawapo cha kuwa 'great thinker'.
Pia router moja yaweza kuunganisha devices kibao.Nchi za kidikteta ndo haya unayakuta lengo kuwanasa wakosoaji hali social media zote unawezajiunga bila phone namba ukitaka.Hawa jamaa wameachwa Sana na technology.
Wazifungie tu wakose mapato.
Usiandike usichokijua Ndugu. UK line ya simu inauzwa pound moja, na unainunua tu kama unavyonunua pipi kwenye off licence. Huitaji kitambulisho chochote kununua pay as you go simcard.
Ukitaka simcard ya contract ndio unafanya vyote hivyo na bado unaweza usipewe kama credit score zako ni chafu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha upunguani UK, kwanza line unainunua kwa kutumia bank card na bank card huwezi ipata bila kutoa id iwe driving licence, passport etc , hivyo kwa kutumia vitu hivyo tayari wameisha dukua taarifa zako. Tatu wanakuuliza post code yako na he no.hapo wanapata physical address ukifanya uhalifu unanyakuliwa kama drone imekufuata
Hizo lyca mobile unatumia kupiga internal call or outside the country ??Mkuu maduka mengi madogo madogo wanauza line za simu bila kitambulisho mfano ni line za Lyca. You dont have to register Lyca mobile na zingine nyingi. Maneno yako sio sahihi mkuu na unanunua sim card kwa cash.
Sent using Jamii Forums mobile app
Good move 😊😊😊