Kufungia simu Serikali itapoteza zaidi ya 30% ya kodi toka makampuni ya simu

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,072
18,258
Huu mchakato wa kusajili laini za simu kwa kutumia kitambulisho cha NIDA pamoja na vidole umekaa kisiasa zaidi na hauna faida kiuchumi.

UK na baadhi ya nchi unaweza nunua laini na kutumia bila kufungiwa.

Kwa kufungia laini zaidi ya Milioni 15 ya Watanzania ambao hawana NIDA serikali inapoteza zaidi ya 30% ya kodi.

Waziri jitafakari.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
UK, kwanza line unainunua kwa kutumia bank card na bank card huwezi ipata bila kutoa id iwe driving licence, passport etc , hivyo kwa kutumia vitu hivyo tayari wameisha dukua taarifa zako. Tatu wanakuuliza post code yako na he no.hapo wanapata physical address ukifanya uhalifu unanyakuliwa kama drone imekufuata
 
Kwa kufungia laini zaidi ya mil 15 ya watanzania ambao hawana nida serikali inapoteza zaidi ya 30% ya kodi.
Lete uthibitisho
Mabadiliko huja na maumivu,kama serikali imeona sawa basi acha yaje
Tunataka kuondokana na wale nitumie kwenye namba hii na wanaofoji matamko
Kwenye uchaguzi wa 2015 tulipata tabu sana mara tuambiwe lowassa kajitoa,jioni unaona tweet ya sefu kajitangazia urais
Bila ya kusajili line kwa alama za vidole,watanzania huwawezi
 
Usiandike usichokijua Ndugu. UK line ya simu inauzwa pound moja, na unainunua tu kama unavyonunua pipi kwenye off licence. Huitaji kitambulisho chochote kununua pay as you go simcard.
Ukitaka simcard ya contract ndio unafanya vyote hivyo na bado unaweza usipewe kama credit score zako ni chafu.
Acha upunguani UK, kwanza line unainunua kwa kutumia bank card na bank card huwezi ipata bila kutoa id iwe driving licence, passport etc , hivyo kwa kutumia vitu hivyo tayari wameisha dukua taarifa zako. Tatu wanakuuliza post code yako na he no.hapo wanapata physical address ukifanya uhalifu unanyakuliwa kama drone imekufuata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nauliza tu. Haiwezekani kutumia alama za vidole zile zilizopo kwenye vitambulisho vya kura au leseni ya udereva au kadi za NSSF nk..nk. kwa wale walivyo navyo hivyo.wale ambao hawana ndio waandikishwe Nida,nadhani inaweza punguza hii adha tunayoipata.

Yaani NIDA,utadhani bila wao dunia itaacha kuzunguka kwa nini uandikishwe leo Mnazi mmoja halafu ukachukuwe namba ukonga mombasa baada ya week mbili?

Yaani haiwezekani papo kwa papo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ikijifana mjuaji jf kuna wanaojua zaidi yako. Mleta uzi ameonekana ndondocha
Acha upunguani UK, kwanza line unainunua kwa kutumia bank card na bank card huwezi ipata bila kutoa id iwe driving licence, passport etc , hivyo kwa kutumia vitu hivyo tayari wameisha dukua taarifa zako. Tatu wanakuuliza post code yako na he no.hapo wanapata physical address ukifanya uhalifu unanyakuliwa kama drone imekufuata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nchi za kidikteta ndo haya unayakuta lengo kuwanasa wakosoaji hali social media zote unawezajiunga bila phone namba ukitaka.Hawa jamaa wameachwa Sana na technology.
Wazifungie tu wakose mapato.
 
Nchi za kidikteta ndo haya unayakuta lengo kuwanasa wakosoaji hali social media zote unawezajiunga bila phone namba ukitaka.Hawa jamaa wameachwa Sana na technology.
Wazifungie tu wakose mapato.
Pia router moja yaweza kuunganisha devices kibao.
 
Usiandike usichokijua Ndugu. UK line ya simu inauzwa pound moja, na unainunua tu kama unavyonunua pipi kwenye off licence. Huitaji kitambulisho chochote kununua pay as you go simcard.
Ukitaka simcard ya contract ndio unafanya vyote hivyo na bado unaweza usipewe kama credit score zako ni chafu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Nenda car phone warehouse ununue hata hiyo pay as u go uone au any shop ya hizo kampuni za simu.
The issue hapa sio price ya simu card.

Halafu unafikiri yule msomali aliye lipua bomu kwenye underground alishikwaje alipofika italia ni kwamba watu waliingia kazini na alitumia simu yake kumpigia simu kaka yake Italia, ile anafika tu akadakuliwa kama kifaranga cha kuku.
Na kuna issue nyingi za mauwaji na ubakaji ambapo watuhumiwa wamepatikana kwa njia ya kufuatilia simu

Na watenda maovu wanajaribu kutumia mbinu tofauti tofauti ilì kukwepa mikono ya sharia mfano Osama bin Laden hakuwa anatumia simu lakini msaidizi wake alikuwa akitumia simu kwa kwenda kupigia simu mbali na wanapoishi na huitoa simu card akisha piga lakini watu waluokuwa a step ahead of him .

Sasa sisi tusio na cctv camera, bank card or credit card hazitumiki sana, physical address Bado tupo nyuma, jambo hili unaliona baya.
 
Mkuu maduka mengi madogo madogo wanauza line za simu bila kitambulisho mfano ni line za Lyca. You dont have to register Lyca mobile na zingine nyingi. Maneno yako sio sahihi mkuu na unanunua sim card kwa cash.
Acha upunguani UK, kwanza line unainunua kwa kutumia bank card na bank card huwezi ipata bila kutoa id iwe driving licence, passport etc , hivyo kwa kutumia vitu hivyo tayari wameisha dukua taarifa zako. Tatu wanakuuliza post code yako na he no.hapo wanapata physical address ukifanya uhalifu unanyakuliwa kama drone imekufuata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tabutupu,
Sababu tunazombiwa za kitoto sana eti kuzuia utapeli kwanjia ya mtandao kwani kazi ya Police nini kwanini tuna Jeshi la Police kazi yao nini?
 
Mkuu maduka mengi madogo madogo wanauza line za simu bila kitambulisho mfano ni line za Lyca. You dont have to register Lyca mobile na zingine nyingi. Maneno yako sio sahihi mkuu na unanunua sim card kwa cash.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo lyca mobile unatumia kupiga internal call or outside the country ??
Na hiyo handset unayotumia yenye imei number nayo uliinunua cash bila kuulizwa jina na post code??
 
13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom