Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,107
- 18,322
Huu mchakato wa kusajili laini za simu kwa kutumia kitambulisho cha NIDA pamoja na vidole umekaa kisiasa zaidi na hauna faida kiuchumi.
UK na baadhi ya nchi unaweza nunua laini na kutumia bila kufungiwa.
Kwa kufungia laini zaidi ya Milioni 15 ya Watanzania ambao hawana NIDA serikali inapoteza zaidi ya 30% ya kodi.
Waziri jitafakari.
Sent using Jamii Forums mobile app