Bana likasi
JF-Expert Member
- Jan 7, 2020
- 6,927
- 6,417
Hili zoezi kuwatupia NIDA lawama ni kuwaonea wao ndo wakusanye taarifa wao ndo waprint id hawawezi kwa wakati ilitakiwa kazi ya kukusanya taarifa waachiwe uhamiaji na polisi angalau hawa wametapakaa nchi nzima kila centa lzm kuna kituo cha polisi, uhamiaji ni kuwapeleka tu kwenye vituo hivo.
kama ofisi zao ziko mbali pia hapa chance ya kumpata asiyeraia kupata id labda awe na ujasiri Wa kigaidi tofauti na sasa ambayo chance ya asiyeraia kupata id ni 30%.Kazi ya nida iwe ni kuprint tu id kwa kuletewa taarifa toka polisi na uhamiaji.
Changamoto ni kubwa Sana mtu atoke kijijini apande bodaboda kisha basi kwenda kujiandikisha hali hata kula yake ni tabu atoe nauli na gharama ya guest akajiandikishe hii uleta changamoto kidogo.