Kasomi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 11,036
- 20,337
Kweli kabisa maana polepole wa sasa si yule wa zamani hapa vitu vingine unaacha vinapita ili Maisha mengine yaendelee maana huko siko kabisa.Hivi kwa mtazamo wako tu unaona wapo sawa yule na huyu wa sasa?
mijadala yake ya hitajio la katiba mpya kipindi kile na ukosoaji wake kipindi kile kuhusu CCM na serikali yake,alafu baada ya teuzi kawa sio yuleeeee,,,wa kipindi kileeeeeee,,,!
Achana na teuzi kasomi utaisha.