KWELI Kufanya mapenzi mwanamke akiwa juu ni hatari kwa afya ya uume wa mwanaume

Taarifa hii imethibitika kuwa ya kweli baada ya kufanya tathmini ya kina
Wakati napitia pitia mitandaoni kutafuta style mpya kwa ajili ya shangazi yenu ndio nikakutana na hili bandiko kuwa aina ya kujamiiana huku mwanamke akiwa amemkalia mwanaume juu ('woman on top' or 'cowgirl' or 'reverse cowgirl'), hatari kwa afya ya mwanaume kwani hupelekea maumivu makali kwani hupekelea fracture ya uume kwa asilimia kubwa wakati wa kushiriki tendo la ndoa.

Inashauriwa mwanaume ndio akae juu ili kupunguza uwezekano wa kupata madhara.

Reverse-Cowgirl-2.jpg

Tunachokijua
Uume ni kiungo kinachofanya kazi ya kutoa taka mwili (Mkojo) na kushiriki tendo la ndoa.

Hupatikana nje ya mwili wa binadamu (Mwanaume), hutengenezwa kwa tishu laini na huwa na kiwango kikubwa cha mishipa ya damu.

Kuvunjika kwa uume
Unaweza kuwa unashangaa juu ya uwezekano wa kutokea kwa suala hili. Ni dhahiri, uume unaweza kuvunjika.

Utafiti uliofanywa na idara ya magonjwa ya mfumo wa mkojo katika Hospitali ya Benjamin Mkapa umebaini mitindo ya kujamiiana inaweza kusababisha uume kuvunjika.

Utafiti huo wenye kichwa cha habari “Penile fracture following sexual intercourse; A case report and literature review” wa Vitus Kajerero et al. unaeleza miongoni mwa mikao hiyo ni mwanamke kukalia uume.

Utafiti huo uliochapishwa Julai 4, 2023 kwenye Jarida la kitabibu la International Journal of Surgery Case Reports umeripoti kufanya upasuaji wa kuunga uume wa kijana mwenye umri wa miaka 27 uliovunjika wakati akijamiiana na mkewe.

Kwa mujibu wa taarifa ya utafiti huo, ajali hiyo siyo suala lenye kujitokeza mara kwa mara, lakini lina uwiano wa mwanamume mmoja kati ya 175,000.

Utafiti huo unadokeza kuwa, tafiti zilizofanyika katika mataifa ya Ulaya na Marekani zimeonyesha asilimia 93.3 ya ajali za uume hutokana na kujamiiana, ambacho kilikuwa chanzo cha ajali aliyopata kijana aliyetibiwa katika Hospitali ya Benjamin Mkapa.

Aidha, kwa mujibu wa Taasisi ya National Center for Biotechnology Information, walau 57.2% ya wanaume wote ambao visa vya kuvunjika kwa uume huthibitishwa, sababu kuu huwa ni ushiriki wa tendo la ndoa.

Hili ni tukio la dharura, mhusika hupaswa kupata matibabu ya haraka ili kuzuia athari za kudumu zinazohusisha mfumo wa uzazi na mkojo.

Sababu zingine za kuvunjika kwa Uume
Kuvunjika kwa uume hutokea wakati uume ukiwa umesimama ikiwa utagongwa au kugandamizwa na kitu kingine kwa nguvu.

Kama ilivyobainishwa, visa vingi vya kuvunjika kwa uume hutokea wakati wa kushiriki tendo la ndoa.

Sababu zingine zinazoweza kufanya uume uvunjike ni;
  1. Kujichua kwa kutumia nguvu kubwa
  2. Kukunja uume.
  3. Kugonga uume kwa nguvu kwenye tukio lolote, mfano ajali.
Wanaume wanashauriwa kuchagua mitindo mizuri ya kushiriki tendo la ndoa pamoja na kujiepusha na tabia hatarishi ili kulinda uume wao.

Pia, wanaopatwa na changamoto hii wanapaswa kufika hospitalini haraka ili wachunguzwe na kupatiwa matibabu.
Wakati napitia pitia mitandaoni kutafuta style mpya kwa ajili ya shangazi yenu ndio nikakutana na hili bandiko kuwa aina ya kujamiiana huku mwanamke akiwa amemkalia mwanaume juu ('woman on top' or 'cowgirl' or 'reverse cowgirl'), hatari kwa afya ya mwanaume kwani hupelekea maumivu makali kwani hupekelea fracture ya uume kwa asilimia kubwa wakati wa kushiriki tendo la ndoa.

Inashauriwa mwanaume ndio akae juu ili kupunguza uwezekano wa kupata madhara.

Ndo nimemaliza hapa na alikuwa juu
 
Duuh! Sishangai kuusiana na iyo maana ata na me mwenyewe kidogo tu iwe ivyo
 
Wakati napitia pitia mitandaoni kutafuta style mpya kwa ajili ya shangazi yenu ndio nikakutana na hili bandiko kuwa aina ya kujamiiana huku mwanamke akiwa amemkalia mwanaume juu ('woman on top' or 'cowgirl' or 'reverse cowgirl'), hatari kwa afya ya mwanaume kwani hupelekea maumivu makali kwani hupekelea fracture ya uume kwa asilimia kubwa wakati wa kushiriki tendo la ndoa.

Inashauriwa mwanaume ndio akae juu ili kupunguza uwezekano wa kupata madhara.

Asa itakuwaje
 
Banaeee napenda aikalie aikatikie,nimeanza mapenzi 2009 mpaka sasa nampenda mwanamke au mke wangu aje juu
 
Hakuna namna acha nyuume zivunjike tu,danga umekula changu nakuachaje sasa acha nikuvunjikie tu
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom