Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 12,893
- 24,285
😂😂😂😂😂Kama Arusha hujaipenda si urudi zako gongolamboto mkapakane majasho
Toba toba toba....ukitaka ukanikatie Himo nipeleke kwenye hao wadudu....huku nimefurahia maua tu species nyingiNenda snake Park kisongo TU hapo bebi ukacheki masnake, Kobe, ukapande na ngamia na mambo mengine meengi TU hapo kiingilio buku 3
Hahaha 😂 umenifurahisha sana.Na baridi hii kinachemkaje?labda nikikande na maji ya moto😪😪😪
TEMEKE iko mbali sana kwa Arusha mpaka mzunguko wa pesa ,labda kama unataka kubishana.Arusha Jiji vs dsm Jiji right?
Umenena vyema...huu ukweli hawautakiHakuna mji wa kuulinganisha na Dar kwenye level ya kuwa jiji kwa Tanzania..
Labda ukizungumzia aspect flani ya maisha mfano gharama za maisha, hali ya hewa, chakula safi etc
Dar imezidiwa na mingiw
Yaani we acha tu mkuu!🤣🤣🤣Naona ananiletea mambo meusi gizani
Watu sio wengi sana na pia wanafanya shughuli tofauti ni tofauti na daslm wengi ni kutoka asubuhi na kurudi wakimaliza kazi Arusha saa hizi mtu anaenda/kurudi Porini.Asante mwanachugastani....huku hamna hata kofoleni kidogo?
Hapo kwa mrombo unafurahia harufu ya nyama za mbuzi tu.MBAUDA,SAKINA,NGARENARO,NJIRO sasa wamesema naenda sehemu kibokoo kwa Mrombo sijui ndio niko hapa nafurahiafurahia
Nimegeneralize maana wakazi wa Arusha the way wanavyoiongeleaga Arusha utasema Arusha nzima ni Njiro....utasikia Dar uswahilini sana mbona huku uswahili umejaa kishenzy...Zenj mpango sanaBinafsi ukitoa baadhi ya sehemu za Dar kama Oysterbay, Masaki, Mbezi, Kigamboni, Posta na Mikocheni hamna sehemu nzuri ya kula maisha kushinda Arusha na Zanzibar Tanzania hii.
How comes umeenda sehemu umekaa siku mbili then unakuja kugeneralize vitu.
mind you sina vinasaba vyovyote na A-town
Hakuna cha machimbo wala nini... jitahidi ikifika mida ya saa 2 uanze kutafuta boda ukalale ukichelewa kidogo hata usafiri utakosa.Hapa saa moja naona pameanza kupoa....au hatujui machimbo?