de Gunner
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 13,037
- 25,652
- Thread starter
- #61
Acha zako wewe, zile battle na kutambiana mbona zilifika ukomo?It’s not that deep….. Mimi ni mwalimu, i’m very accommodating… Huwa nakupa tu floor ya kuperfom whatever you are up to!
Elewa mambo itakuwa rahisi sana kuishi.
Ukijaribu sana kutumia psychology na mind games za hapa na pale, ila uligota na nilicho kukubali uliacha mchezo mara moja. Which is so necessary