Kufafanua Kuondoka Kwangu JF

Kufafanua Kuondoka Kwangu JF

Travis_Scott_Openair_Frauenfeld_2017___most_hyped_crowd_🔥__Full_Live_Performance_🔥(360p)(1).gif
 
Hivi ni kwamba hamjasoma nilicho kiandika kwenye huu uzi?

Mbona wamatumbi mnakuwa vichwa ngumu namna hii..

Mbona nimeelezea nia ya kuandika nilicho andika ni kutaka kuweka wazi nia yangu ya kuondoka jf?

Mbona mmeitwist mada yangu katika namna ya kuonesha kuwa ninataka kubaki humu?

Binafsi nilivosema naondoka Nilimaanisha ndugu zangu, sio mzaha kabisa. Ila baada watu kudhani eti nimekimbia kisa member au watu humu kupitia comments ndo ikanibidi nifanye hii clarity.

Sasa hapo ambacho hamjaelewa ni nini hasa? Mbona mnapenda kugeuza mada nyie wamatumbi?
 
VAR.

VAR.

Dogo anahangaika hata kuku anayetaka kutaga akasome; na anajiona ni mtu wa muhimu sana na anayejua kila kitu. Ni bingwa mzuri pia wa kuporomosha matusi ego yake ikitekenywa. Bila shaka atakuwa anasumbuliwa na Narcistic Personality Disorder (NPD). Inasikitisha sana hasa ukizingatia kuwa NPD huwa haina tiba. Itabidi tu tumzoee! 😭
 
Hahahaha aisee.
Inabidi uzoee hakuna namna😂
 
Dogo anahangaika hata kuku anayetaka kutaga akasome; na anajiona ni mtu wa muhimu sana na anayejua kila kitu. Ni bingwa mzuri pia wa kuporomosha matusi ego yake ikitekenywa. Bila shaka atakuwa anasumbuliwa na Narcistic Personality Disorder (NPD). Inasikitisha sana hasa ukizingatia kuwa NPD huwa haina tiba. Itabidi tu tumzoee! 😭

Na mimi nilisham diagnose kuwa ana NPD ni muhimu atafute Psychotherapy.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom