Kufafanua Kuondoka Kwangu JF

Kufafanua Kuondoka Kwangu JF

Dogo anahangaika hata kuku anayetaka kutaga akasome; na anajiona ni mtu wa muhimu sana na anayejua kila kitu. Ni bingwa mzuri pia wa kuporomosha matusi ego yake ikitekenywa. Bila shaka atakuwa anasumbuliwa na Narcistic Personality Disorder (NPD). Inasikitisha sana hasa ukizingatia kuwa NPD huwa haina tiba. Itabidi tu tumzoee! 😭
Mkuu,unajua huyu dogo hana maisha nje ya JF,
Inaonekana hata watu wa karibu yake hawamjali tena na walisha mtelekeza,
Jamii iliyomzunguka haimpi umuhimu wowote ule na walisha mdharau,

So,faraja yake pekee imebaki ni humu JF tu,akifungua hivi vinyuzi na watu wakachangia,basi na yeye anafarijika na kujiona kumbe bado ni mtu,ila hii ni faraja ya muda tu,huyu dogo ana tatizo kubwa sana,na kibaya zaidi,yeye ana amini yupo sawa,ukisoma nyuzi zake,matatizo yake yalianzia kwenye aina ya malezi kwenye ukuaji wake,

Nafikiri huyu ni wa kuachwa tu,hata hivi vinyuzi vyake,hakuna haja ya kuchangia pia.
 
Mkuu,unajua huyu dogo hana maisha nje ya JF,
Inaonekana hata watu wa karibu yake hawamjali tena na walisha mtelekeza,
Jamii iliyomzunguka haimpi umuhimu wowote ule na walisha mdharau,

So,faraja yake pekee imebaki ni humu JF tu,akifungua hivi vinyuzi na watu wakachangia,basi na yeye anafarijika na kujiona kumbe bado ni mtu,ila hii ni faraja ya muda tu,huyu dogo ana tatizo kubwa sana,na kibaya zaidi,yeye ana amini yupo sawa,ukisoma nyuzi zake,matatizo yake yalianzia kwenye malezi ya ukuaji wake,

Nafikiri huyu ni wa kuachwa tu,hata hivi vinyuzi vyake,hakuna haja ya kuchangia pia.
Sasa nimefika hatua ya kuanza kusahwishi watu wasichangie sio😂😂😂😂

I need more VAR bado mechi ngumu sana hii
 
Well bado haujajuwa, chochote.

Mimi ungesema ni attention seeker sawa ila NPD unakuwa umekisia mbali sana
Tatizo lako ni kubwa sana kuliko hata nilivyokua nafikiria,
Kabla ya dakika chache tu umeanzisha uzi na kusema '''Wanao dhani kua wewe ni attention seeker,wanakosea sana''
Halafu hapa unakubali kua wewe ni attention seeker!
Dogo una tatizo kubwa sana la kiakili,sikiliza wakubwa na wataalamu humu ili utafute tiba.
 
Mbona unamahangaiko hivi mkuu? 😂

Nilicho sema hapo ni kuwa yeye ni bora ange kisia kuwa mimi ni attention seeker. Alikosea kuanza ku guess vitu visivyo kuwepo.
 
Unajua mpaka sasa nimeshajipakulia minyama mpaka nimesha vimbiwa sasa.

Yaani pamoja na drama zote nilizo zileta bado watu mnajaa kwenye mfumo na kunipa Kiki?

Kweli wabongo, mnapenda kulewa na vitu vya kijinga kwakweli.

Mnapenda mtu apakaziwe ujinga then uanze ku u entertain. This is a crazy society.
 
Mtu pekee aliye kuja kunielewa vizuri na kujua madhumuni ya gu humu kwa uchache sana ni binti kiziwi na mwanzo Ali jaribu kuni shut down ila aliishia kuwa disappointed.

Ila baada ya hapo akaacha kunigawia energy yake kizembe na anajua fika kuna some sort of power niliyo nayo na limits zake kwa uchache, Kongole kwako binti kiziwi
 
It’s not that deep….. Mimi ni mwalimu, i’m very accommodating… Huwa nakupa tu floor ya kuperfom whatever you are up to!

Elewa mambo itakuwa rahisi sana kuishi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom