Kuendesha nyumba kwa remote control

Kuendesha nyumba kwa remote control

no Fixed Point c lazma yawe km yako kwa 100% hapo ninamaanisha maisha ya kuwa mama tena mwenye majukumu na anayetambua wajibu wake kwa mumewe na wanawe!
Umeeleweka my dear, kila kitu na muda wake, muda ukifika utaingia tu...... karibu in advance!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
he he he, unatamani iwe hivyo lol

hebu muoe huyo CL, usimfanye nungayembe bure

Unafikiri wana raha hao...ukifika usiku kama jehanam imeingia, tena kama Kongosho kwake ameweka patisheni chumbani mume huku mke kule.....tule maisha kwanza
 
Last edited by a moderator:
ha ha haa hata sijui alikuwa na nani huko zamani...
kwani wewe uko single? mbona anakuogopa hivyo?
shangaaaaaa, chezea mke wa mtu.............. si unajua siku hizi watu wanataka wake za watu..................... hakuna commitment wala kusumbuana usiku mkali. kila mtu anakuwa na wake mida hiyo
 
hivyo vimodo unafikiri vina shida na hela? hata kidogo. kila kitu vinapata, na shule vinaenda, basi tu vibweka vyao
mama yangu mdogo ni sista wa kanisani na kilemba kabisa, anaishi na hausgal wake, jamani cku moja kenda zake sokoni, kamuacha hausgal afue, lol alishangaa kumkuta hausgal kavaa nguo za kisista na kilemba kabisa busy anafanya usafi na kusafisha banda la ng'ombe! wadada wanavibweka acha kabisa!
 
ha haaaaaaaaaaa, huyo wa kuvaa nguo zangu ni balaa............... usikute siku nyingine mchana wanapumzika vitandani kwetu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom