Buswelu
JF-Expert Member
- Aug 16, 2007
- 1,998
- 359
Ule uzi wa how do you treat ur house girl.......kama ume work out...naamini haya yote maagizo unayotoa kama unaongea na mtu mwenye akili timamu na sio kumfokea....Fixed Point kwani kuna wamama anavyo msemesha house girl anaye mtunzia nyuma kama anaongea na kikaragosi kisicho jua kitu.