Kuendesha nyumba kwa remote control

Kuendesha nyumba kwa remote control

hii thread inahusu sana hasa kwa baadae sana. kumbe asubuhi lazima nawashe simu kupokea maelezo na jioni pia.
sasa net kushusha ndo itakua ishu coz nina miaka kibao sijifuniki net, hata ikitokea nikajifunika inafika asubuhi naikuta miguuni au nakuta net imekatika kabisa.
Hii hali sio kusema ni kucontrol bali inamanisha mwanamke anajali na anajua wajibu wake. Mwanaume nyumbani ni kama mtoto tu kwa mwanamke. Mia

Hahaa kwa hiyo mkuu inabidi kukumbushwa kushusha net sio? Lol
 
.. Fixed Point mie sioni kama ni tatizo kabisa hasa kama ajira yako wakati mwingine inakutaka usafiri ndani/nje ya nchi kwa vipindi virefu. Hata kama hauko nyumbani unaweza kufuatilia kuhakikisha kila kitu kinaenda shwari kama vile uko nyumbani. Una bahati FP ungekuwa umepata mwenzi mwenye wivu wa kufa mtu 🙂🙂 angeshakutaka uache kazi ili uwe mama wa nyumbani 🙂🙂 badala ya kusafiri safiri kwa muda mrefu.

Wanaume wengine poa sana kwa jinsi wanavyowakubali wenzao. Akitaka kujiendeleza kielimu ndani au nje ya nchi RUKHSA, kama kazi yake inamtaka kusafiri safiri ndani na nje ya nchi RUKHSA. Wakati mwingine kwenye ndoa kuaminiana ni kitu muhimu sana ili kufanikisha maisha ya ndoa.

Asante BAK, naona jana uliingia mitini, anyways tunashukuru kwa post hii nzuri.
Huyo wa kuniambia niwe mama wa nyumbani ataanzia wapi? yaani kusota kote huku halafu nikae nyumbani nakuna nazi? thubutu.
Ila kwa kweli namshukuru Mungu kwa MUME aliyenipa, he is such a darling................ I love u my husband! lol
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom