Kuendesha nyumba kwa remote control

Kuendesha nyumba kwa remote control

FP, mie sijawahi cheat wala kutamani kucheat

wale ulioniona nao mmoja ni shamba boy, mwingine ni mfanya kazi wa kwenye mizinga ya nyuki.

Mie ni huyu mmoja tu lol
wote huwa tunasemaga hivyo hivyo.......... sijawahi kuona mmama anaye-cheat aka-admit kwamba anacheat, so sishangai
 
Weeeee chumba chaki na
mumeo hakikisha kinafungwa full
time....
hapo juu kuna niliyemwambia mmama alikuwa full time ana funguo za chumba mfukoni, na wenzie walichonga hiyo funguo. wakati mwingine wanasema "mchawi mkabidhi mwanao amlee", hatamlogo huyo
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Wanachit-chat nawasalimu.
kuna hili jambo huwa linanitokea sana.
Utakuta nimesafiri, sipo nyumbani kwa siku, wiki, miezi kadhaa, lakini huwa nina tabia ya kuendesha maisha ya nyumbani kana kwamba sijaacha mtu. kila siku lazima nipige simu kuulizia/kutoa maelekezo (mmepika nini?, watoto wamekula?, jioni mtawapa nini?, kesho toa net uzifue......). sasa najiuliza hii ina maana gani? ni mimi tu au hata wamama wenzangu mnafanya hivi?
wababa wanalipokeaje? wanashukuru kuwa tunawasaidia kuendesha nyumba hata kama hatupo nyumbani au wanaona hatuwaamini?
Naomba nikuulize rafiki na mkwe wangu Fixed Point, Hivi ni kwanini humuamini mmeo? Siku ukiRIP bado utaiendesha home yako kwa remote control au kwa bluetooth?

Umeona Kongosho hapo chini alivyoanza kulalamika eti anatuona? kwani alishaachana na babu Asprin? kwa memori zangu mara ya mwisho alikuwa na huyo babu.
Asante sana, sitapotea tena rafiki
Mi na Kongosho tutatenganishwa na kaburi tu.:majani7:
 
Last edited by a moderator:
Naomba nikuulize rafiki na mkwe wangu Fixed Point, Hivi ni kwanini humuamini mmeo? Siku ukiRIP bado utaiendesha home yako kwa remote control au kwa bluetooth?

Mi na Kongosho tutatenganishwa na kaburi tu.:majani7:
rafiki, nikiRIP itakuwa basi tena mwisho wa kuendesha nyumba kwa bluetooth....
sasa huyo Kongosho aje hapa, maana anawachanganya rafiki yangu The Boss na mkwe wangu Asprin, aje aseme nani mume nani infii, ingawa kakana kucheat
 
Last edited by a moderator:
Afu wewe FP

Unajua kabisa nimeolewa na Boss na nina ujauzito wa kujifungua?
Mbona hivi lakini? Kama vile umelipwa niachike lol

Usimuudhi 'laazizi' wangu lol

rafiki, nikiRIP itakuwa basi tena mwisho wa kuendesha nyumba kwa bluetooth....
sasa huyo Kongosho aje hapa, maana anawachanganya rafiki yangu The Boss na mkwe wangu Asprin, aje aseme nani mume nani infii, ingawa kakana kucheat
 
Hivi unadhani kupachika kazi ndogo?
Kila kona kumejaa "tunaongeza nguvu"

Achia mbali maufundi ya upachikaji

Miscariage if occured, si itakua bahati mbaya tu? Kwani wapachikaji wameisha?
Si atapachikwa mpya?
Tatizo nini ?
 
ha haaaaaaaaaaa, huyo wa kuvaa nguo zangu ni balaa............... usikute siku nyingine mchana wanapumzika vitandani kwetu
Fixed Point marufuku mwenzio chumba changu kuacha wazi! yaani sithubutu, walishanikombaga vihereni na vicheni vyangu, mwenyewe nimecheza upatu! NIMEKOMA! hawana maana!
 
Last edited by a moderator:
dada cacico, twins hawajambo? nilitamani sana twins, kwa vile sikupata basi nikaamua kudabodisha, mziki ulikuwa mzito ila sasa wamekua ni raha tupu, ni kucheka kwenda mbele
 
Last edited by a moderator:
Fixed Point marufuku mwenzio chumba changu kuacha wazi! yaani sithubutu, walishanikombaga vihereni na vicheni vyangu, mwenyewe nimecheza upatu! NIMEKOMA! hawana maana!
mimi natamani kufanya hivyo lakini siwezi.
kuna masiku wale walinzi wangu wanaweza kukuvamia chumbani na kusema leo tunalala na wewe, sasa asubuhi siwezi kuwakurupusha sababu tu eti nifunge mlango, nawaonea huruma. sasa naona leo nafunga, kesho sifungi, ni useless.
nina safe ya ku-lock vitu vyangu vya maana na kama nina hela ndani pia. kwa hiyo wataishia kujipulizia perfume zangu kama wanatoka.................... na walivyo wa ajabu walikuwa hawajui kama nitawabamba, nikawa kila wakijipulizia, nawaambia leo wewe umejipulizia hii, wewe hii, siku hizi wameacha
 
  • Thanks
Reactions: BAK

Similar Discussions

Back
Top Bottom