Uchaguzi 2020 Kuelekelea Uchaguzi mkuu 2020: Tupe tetesi na maoni yako, unapendekeza nani agombee wapi na nafasi gani?

Amani iwe kwenu!!
Huyu dada mhe! Amekuwa msaada kwetu na jamii ya Wana Mbeya kwa ujumla kwani kawasaidia wakina Mama wengi kupata mikopo yenye riba nafuu na vijana wengi kwenda Shule Mimi na awa wenzangu tumeapa kumpigia kampeni bure kabisa Dr Tulia Ackson Mwansansu kuwa Mbunge wa Mbeya 2020

#Tunaenda_na_Tulia_2020

Aiseee

Namchukia mpaka basi
 
wewe ni mmoja ya hao wamama waliopata mkopo?
 
Amani iwe kwenu!!
Huyu dada mhe! Amekuwa msaada kwetu na jamii ya Wana Mbeya kwa ujumla kwani kawasaidia wakina Mama wengi kupata mikopo yenye riba nafuu na vijana wengi kwenda Shule Mimi na awa wenzangu tumeapa kumpigia kampeni bure kabisa Dr Tulia Ackson Mwansansu kuwa Mbunge wa Mbeya 2020

#Tunaenda_na_Tulia_2020
Bure ni ipi si unailipia sasa
 
Mbeya Mnyakyusa hawezi kamwe kuwa mbunge. Akitaka ubunge akagombee huko kwao Mwakareli.
 
Mimi na wenzangu kama 250,000 hivi tutamchagua Sugu 😂😂😂
 
Amani iwe kwenu!!
Huyu dada mhe! Amekuwa msaada kwetu na jamii ya Wana Mbeya kwa ujumla kwani kawasaidia wakina Mama wengi kupata mikopo yenye riba nafuu na vijana wengi kwenda Shule Mimi na awa wenzangu tumeapa kumpigia kampeni bure kabisa Dr Tulia Ackson Mwansansu kuwa Mbunge wa Mbeya 2020

#Tunaenda_na_Tulia_2020
Weka hapa kiapo tukione
 
Hivi hafanani na kibwengo kweli! Waliowahi muona kibwengo live! Msaada tafadhali.
 
Amani iwe kwenu!!
Huyu dada mhe! Amekuwa msaada kwetu na jamii ya Wana Mbeya kwa ujumla kwani kawasaidia wakina Mama wengi kupata mikopo yenye riba nafuu na vijana wengi kwenda Shule Mimi na awa wenzangu tumeapa kumpigia kampeni bure kabisa Dr Tulia Ackson Mwansansu kuwa Mbunge wa Mbeya 2020

#Tunaenda_na_Tulia_2020
Hamna sababu ya kupoteza muda kwa kupiga kura wakati mnao uwezo wa kumpitisha bila kupingwa.
Hiyo mkutano amewezaje kufanya wakati yeye si Mbunge wa Mbeya hivyo haruhusiwi!
 
Amani iwe kwenu!!
Huyu dada mhe! Amekuwa msaada kwetu na jamii ya Wana Mbeya kwa ujumla kwani kawasaidia wakina Mama wengi kupata mikopo yenye riba nafuu na vijana wengi kwenda Shule Mimi na awa wenzangu tumeapa kumpigia kampeni bure kabisa Dr Tulia Ackson Mwansansu kuwa Mbunge wa Mbeya 2020

#Tunaenda_na_Tulia_2020
Unapima maji kwa kijiti eeh...
 
Sasa kura zenu 101 ndo zitampa ushindi? Umesahau kuwa sugu ndo mbunge alopigiwa kura nyingi
 
Amani iwe kwenu!!
Huyu dada mhe! Amekuwa msaada kwetu na jamii ya Wana Mbeya kwa ujumla kwani kawasaidia wakina Mama wengi kupata mikopo yenye riba nafuu na vijana wengi kwenda Shule Mimi na awa wenzangu tumeapa kumpigia kampeni bure kabisa Dr Tulia Ackson Mwansansu kuwa Mbunge wa Mbeya 2020

#Tunaenda_na_Tulia_2020
MBEYA ni nyumbani kwa Wanyaksusa au Wasafa
 
Naibu waziri wa TAMISEMI Mwita Waitara amesema 2020 anagombea Tarime kwenye jimbo analoongoza John Heche wa CHADEMA.

Akiongea na Mwananchi, Waitara anasema lazima akachukue jimbo kwani Heche amechokwa na wapiga kura wake na yeye wananchi wanamuhitaji.

Chanzo: Mwananchi

====

Dar es Salaam. Mbunge wa Ukonga (CCM), jijini Dar es Salaam nchini Tanzania, Mwita Waitara ametangaza katika uchaguzi mkuu 2020, atagombea ubunge Tarime Vijijini mkoani Mara.

Uamuzi huo wa Waitara ameutangaza hivi karibuni akiwa Tarime ikiwa ni ishara kwamba hatogombea tena Ukonga kama alivyofanya mwaka 2015 akiwa Chadema kabla ya kujiuzulu na kutimkia CCM mwaka 2018 alikopitisha kutetea nafasi hiyo na akashinda.

Jimbo la Tarime Vijijini kwa sasa linaongozwa na John Heche wa Chadema.

Waitara ambaye pia ni Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais- Tamisemi amesema ametia nia ya kugombea ubunge katika jimbo hilo na atafurahia endapo Chadema itampitisha tena Heche kugombea ili aweze kuchuana naye.

Naibu waziri huyo ametangaza nia hiyo wakati akisherehekea sikukuu ya mwaka mpya na wakazi wa Tarime vijijini sehemu ambayo wazazi wake wanaishi.

Akizungumza katika hafla, Waitara alisema ikitokea ikawapendeza wajumbe wa mkutano mkuu wa chama jimbo, kamati ya siasa ya wilaya, kamati ya siasa ya mkoa, wajumbe wa halmashauri kuu ya CCM na kamati kuu wakampitisha atakuwa mgombea ubunge.

“Naiomba Chadema imlete John Heche hapa Tarime Vijijini tukutane, nimesikia anataka kwenda mjini asiende,” alisema Waitara

Alisema kwa mara ya kwanza aligombea jimbo hilo mwaka 2010 akiwa CCM lakini kutokana yeye kuwa masikini alikosa fursa hiyo.

“Wakati huo utaratibu wao ulikuwa mwenye pesa ndiye hupewa nafasi, sikuwa na pesa wala mdhamini ina maana katika familia hii niliingia katika siasa peka yangu, sina shangazi, sina mjomba mimi ni jeshi la mtu mmoja, katika mazingira hayo yaliyotokea yalinifanya mimi kuhama chama wakati ule,” alisema Waitara

Alisema mwaka 2010 alirudi katika jimbo hilo na kuomba ubunge, kazi ikafanyika lakini haikuwezekana, labda Mungu hakupenda jambo ambalo lilimfanya kwenda kuwa mwenyekiti wa mtaa wa Kivule katika jimbo la Ukonga jijini Dar es Salaam.

“Mwaka 2015 nikagombea ubunge kupitia Chadema katika jimbo la Ukonga nikashinda lakini sasa nataka kurudi nyumbani,” alisema Waitara

Jitihada za kumpata Heche zinaendelea.

IMG-20200103-WA0184.jpeg

State agent

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom