Uchaguzi 2020 Kuelekelea Uchaguzi mkuu 2020: Tupe tetesi na maoni yako, unapendekeza nani agombee wapi na nafasi gani?

Kilichofanyika ni kuzipokonya halmashauri na vyanzo vyote vya mapato na kuyafanya kuwa kodi.
 
Chaguo la Lubuva na Jecha litakuwa vipi chaguo la watz.Labda wewe na wanyonge ( futureless people ) wenzio
 
Watu wa Bunda sio wajinga.Wewe upo Bunda au Tanzania ipi?Ester ni mmoja kati ya wabunge ambaye anawapigania wanaBunda hata kuliko Wassira aliekaa pale miaka 20.Wassira mwwnyewe anamkubali Ester halafu weww unaleta mbazi hapa.
Namshauri Esther Matiko atafute kazi nyingine ya kufanya maana pale Bunda Mjini hatakiwi wapiga kura wake wanasema huwa wanamsikia tu kila kukicha yuko Mahakamani tena Dar hata kama kesi si ya kwake lakini yupo Mahakamani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatari sasa. Humu Humu kunawanaompenda Kwa dhati na Mafisadi wasiompenda. Kama ulikuwa suspends tabia mbaya ya CCM 2005/15. basi wewe akuwa nchini. Walikuwa wakihishi Humu nchini Tunamkubali Sana. Hasa sisi tusio na chama vichwani mwetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu usitusemee sisi usemee MOYO wako na nafsi yako. Binafsi namchukia sana Magufuli kwa issue ya ajira na mishahara na kura yangu HAIPATI KAMWEEE

We endelea kulinda ugali wako mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ndiyo ushamba wenyewe, kachaguliwa kwenye UCHAGUZI gani??? Yaan wew ndiyo Great Thinker.
Shame on you madam
 
Back
Top Bottom