PLOII
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 1,098
- 802
A matter above is concerned,
Msimu huu wa NBC premier league umekuwa wa kituko Sana hasa referees wa league yetu ni shida.
Moja ya matukio ya ajabu ni offside na watu kufunga hadi na mikono na wanufaika wakubwa ni Yanga na Simba.
Msimu umeisha Yanga ilijipangia nani awe referee wa mchezo naweza kasema hivyo Kwa sababu game zaidi ya 10 Arajiga alihusika kwenye games za Yanga.
Kitendo cha kumgomea Mtendaji Mkuu wa Bodi ya League, Waziri wa Michezo na kutotambua uamuzi wa CAS kiukweli hiki kitu it's a high level of insanity & disrespect to the Authority.
Rais wa Nchi kawaita Simba ikampeleka Shabiki wa Yanga maana yake Yanga walikuwa wenyewe kwenye kikao na Mkuu wa Nchi, swali la kujiuliza baada ya Rais Kuna kanuni zilibadilika au wajumbe wa Bodi walipatikani Kwa mfumo mwingine it's only hypocrisy & sycophantic.
Wanasiasa walihusika pakubwa kuamua agenda za Yanga Kuna mmiliki wa Timu na Mjumbe wa Bodi ya udhamini wa Yanga alisikika akisema hatuchezi hivyo kuchochea hiyo slogan kuathiri msitakabali wa maamuzi kwenye Bodi ya League. Nadhani Simba ilifungwa sio Kwa kuzidiwa labda Yanga waliamua maana huu MSIMU wao wanaamua kila kitu wameshindwa kumtoa tu Karia Kwa kura maana anawajua alikuwa mbele ya muda wakampa endorsement Kwa sasa wanajutia hili.
Ushauri:
TFF iwe serious with misconduct, rules & principles must effect the general process in terms of managerial & administrative. Sio Timu moja inakuwa na power ya kufanya chochote kwenye Nchi na watu wote twende na UPEPO wake.
NB: Yanga na Simba ni Timu kubwa na tajiri tatizo conservativism ndio maana hamna mapato ya kutosha. Timu inampa mtu umiliki bila legal actions anajipigia tu. Serikali ya awamu ya tano ilitoa macho huku iliwakamata wahuni wengi tu pale Simba na TFF hata sasa ipitie sizani kama Mangungu atapona. TFF & wizara simamieni mchakato wa mabadiliko ili hili chaka la wapigaji Kwa mgongo wa uwekazaji litoke sio daily kusajili wachezaji wa mchangani mwekazaji 4 years no trophy wewe ni investor au Kasuku. Serikali hakikisheni hawa wanaojiita wawekezaji wanaweka pesa kwenye Bank Account za Club maana wengine siku investor akitoka watabaki na Bwawa tu pale chini maana hata wafanyakazi pesa zinatoka kwenye Account binafsi ya investor siku akisahau kutoa Maisha yatakuwa machungu.
Rais wa Nchi amekuwa anatoa motisha ya goli la mama, please my Mom buy pads uwape watoto wa shule ya Sekondari Salma Kikwete pale kijitonyama utakuwa umefanya Jambo la maana kama wanapata 3.8B wanashindwa kulipa posho za wachezaji na wengine Wana madeni hadi wanafananishwa na NYANI~LUC hata hizo unazotoa hazifiki.
Ushauri wangu Kwa Rais wa Nchi waite hao investors in private wambie wafanye usajili mzuri sio kuwa na wachezaji wamenenepeana kama Kiboko hadi wameachwa kabla hawajaanza kucheza mwingine striker pale Simba Nyashi utazani Poshi wa Harmonize kama ni budget zao ndogo better to assert in prior kama unawasaidia ili wafanye sajili bora sio kutega Kwa goli la mama uwanjani manyoya tu fans tunakosa taste nzuri ya mchezo wa Mpira wa miguu hasa WANALUNYASI tulishazoea pira teleza bahati mbaya pira teleza Kwa sasa ni back passes & fukuza mwizi sio utamaduni wetu hayo mambo yapo kwenye mabwawa huko.
Merci Merci guys !