idawa
JF-Expert Member
- Jan 20, 2012
- 25,284
- 38,317
- Thread starter
- #1,441
Zote nne zinapiga na kupokea bila shida yoyote.!Mnaosema hazijazimwa jaribuni kupiga msikie maneno.
Mi nimezimiwa huduma ya kupiga but inaandika ipo hewani kama kawa
Sent using Jamii Forums mobile app