Smart Guy
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 6,701
- 6,674
HahahaaAah watakuwa wameanza na za dar mpaka wafike huku Mkoani kwangu mtandao wa tigo utakuwa umebadilisha jina na kuitwa goti
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahaaAah watakuwa wameanza na za dar mpaka wafike huku Mkoani kwangu mtandao wa tigo utakuwa umebadilisha jina na kuitwa goti
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha siasa.Hadi kukuche maneno yatapungua.. me pia nawait kuzimiwa... ndio mabadiloko ooh Lowassa. ... Lowassa aaah Mabadiloko... mliipenda wenyewe.. ndindii... sasa wacha muisome namba hiya. .. ccm mbele kwa mbele
NIMECHEKA SANAWazema sasa
...Paula, ina maana wewe ni kati ya ambao hawajajaza hata form kupeleka NIDA...???Mimi nimezimiwa.
Thubutu, hakuna atakayezima simu ya mtu.Watazima kesho asubuhi.
Hapa kuna nini. Anataka kugombea kitu huyu mtu?DSM haina mkuu wa mkoa Bali Ina muimbaji wa taarabu wa kiume.
How comes mkuu wa mkoa unakua na kauli za dhiaka kwa watu wasiokuwa na hatia? Yani Hadi kazidiwa na DC wa kahama aliegawa mahindi na ndizi kwenye foreni ya NIDA.
Humanity is everything and not humility like Bashite did.View attachment 1329037
Simu zina pesa zetu.. Ukizima pesa zangu nitazipataje??Thubutu, hakuna atakayezima simu ya mtu.
Kuna visababu vitaelezwa hapo asubuhi unayoisubiri kwa nini simu hazikufungiwa!
TCRA wamejisahau wamelala ila ngoja waamke
Watazima kesho asubuhi.
😂😂😂😂😁😀😅😅
Pole