Kuelekea laini za simu zisizosajiliwa kuzimwa; Ushauri wa namna bora ya kufanya ili kutovunja sheria za nchi

MKUU
Ukishapata hiyo sms ndo laini inasitishwa kuwa active.Zitazimwa kwa awamu kadri muda unavyoenda.
HIOO AWAMU KWANGU WAMEANZA NAYI SIPIGI SITUMI.MSG HAPA NAJIPANGA NKAWAWEKE MAOMBI YA MFUNGO SIKU 21 WARUDISHE HURUMA ZAOO

SHUKRAN TIGO KUNISITIRI
 
Usitutishe
Wewe Nichochezi
Unataka Nini
Lines Zote Hazijafungwa Mpaka Sasa Hivi
😅😄😃😁😂😂
 
NATAMBUA UWEPO WA NIDA NA TC
Screenshot_20200121-062319.png
RA AHSANTENI
 
Hahahaaa hivi nyie watu mnataka nini badala kushukuru mnawatibua mav#&+@ tulieni bana ah.

Mimi NIDA wameniambia namba nitapata mwezi wa pili tarehe tatu tangu nijiandikishe mwanzo wa mwezi huu .

Waacheni jamani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani ujiandikishe mwezi huu upate mwezi wa pili ina maana kuna uchawi kidogo umetumia mkuu?wakati wengi tuliojiandikisha kuanzia mwezi wa nane mwaka Jana hatujapata kitu mpaka Leo.
 
TCRA ni kama mgambo Wa jiji Jana nimekutana na mgambo Wa jiji kanikuta nimeshika kuku pale kisutu sokoni akaniuliza shekhe Leo krismasi nikamjibu shekhe na krismas wapi na wapi? TCRA hawana hiyo teknology ya kuzima simu wameumbuka na kwa hili wametoa siri ya serikali haina access ya kuingia kwenye makampuni haya ya simu
Walishindwa kuzima Simu fake ndo line wataweza
 
NIDA NIDA
Wazime simu
NIDA NIDA
Tukose data
NIDA NIDA
Tuseme nini
NIDA NIDA
Hatuna ID
NIDA NIDA
Mwaka wa tatu
NIDA NIDA
Hatuna vitambulisho
NIDA NIDA









Nyimbo tamu kweli kuanza nayo hasubuhi kama hii,yani miakanwatu wanasubiri vitambulisho na hatujapata,sijui vinatengenezewa sayari ya pluti,maana dah.
Ila NIDA kweli wametufunza kuwa wavumilivu.
 
Back
Top Bottom