Tuambie kuhusu rambirambi
juzi kwa mara ya kwanza nilikutana na polisi mstàrabu.alikuja benki ya nmb mandela ila kwa unyenyekevu wake,tulimpisha.alikuwa ni mdada na nyota zake mbili kila upande
Mungu wangu.Said Mwema Ambaye nu Msomi mwenye Shahada ya Sheria ndiye anayehalakisha mambo ya kipuuzi kama haya?
maelezo ya huyo mzee yanajikanganya! Haeleweki anamlalamikia nani! Mara Mwema,mara DCI,mara Ujenzi Tanga,mara Mwal Nyerere,Ah! Nadhani uzee wake umekuja vibaya.
kusikiliza habari upande mmoja halafu uka hitimisha je 'inaswihi' kwa Msomi wa kiwango cha shahada ya Uzamili?
Tuambie kuhusu rambirambi
Nashukuru umrudi na umefunguka , hutakuwa kama dhamani dhileHuyo mzee atakuwa na ule ugonjwa wa Tundu
Umesikia maelezo kutoka upande wa pili?
Una uhakika gani anayoongea huyu mzee ni ya kweli au ni mzushi
maelezo ya huyo mzee yanajikanganya! Haeleweki anamlalamikia nani! Mara Mwema,mara DCI,mara Ujenzi Tanga,mara Mwal Nyerere,Ah! Nadhani uzee wake umekuja vibaya.