hii ni aibu sana kwa wanaume"Mwijaku asiwaongopee watu kuwa amejenga atuonesha hati kama kuna jina lake mke wake ana msitiri tu kuishi kwake alichokisema @officialbabalevo kina ukweli ndiyo maana alikaa kimya" Alisema Haji Manara.
Chanzo Taarifa: manaratv
Ila Haji Manara muhuni sana Wewe jamaa yaani hata hujaogopa kusema kuwa Mwijaku Kajaaliwa Umbile zuri Mashaalah?
😂😂😂😂😂Wanaume ni WAMBEA kuliko wanawake
Wanawake tumewaachia UMBEA sasa tunasaka PESA...
Sasa kina nani? 😂😂😂😂Sasa wale ni wanaume?
Umbea una faida gani kwa hii nchi?"Mwijaku asiwaongopee watu kuwa amejenga atuonesha hati kama kuna jina lake mke wake ana msitiri tu kuishi kwake alichokisema @officialbabalevo kina ukweli ndiyo maana alikaa kimya" Alisema Haji Manara.
Chanzo Taarifa: manaratv
Ila Haji Manara muhuni sana Wewe jamaa yaani hata hujaogopa kusema kuwa Mwijaku Kajaaliwa Umbile zuri Mashaalah?
Dar ilitakiwa kuwa kioo cha mikoa mingine ila ndio imekuwa mfano kwa issue zisizo na maana.Wanaume ni WAMBEA kuliko wanawake
Wanawake tumewaachia UMBEA sasa tunasaka PESA...
atapona soon tuBaba adabu huyo
Halafu kichaa
Genta the king, hahahahaNikishapata hiyo Ajira huko Kipindini Mashamsham ndiyo safari hii utanikubali rasmi Unibenjulie naliu yako ili Nikutindue?
Mpaka hapa, mwanaume mbea ni huyu GENTAMYCINEWanaume ni WAMBEA kuliko wanawake
Wanawake tumewaachia UMBEA sasa tunasaka PESA...
Kwa hili jibu sijui kama karudiKusaka Pesa kwa 'Kukanyagwa / Kushindiliwa / Kutinduliwa / Kusokomezwa' nao Kutwa na hao hao Wanaume Wambea?
Huyu hayupo Dar yupo Bundanyie watu wa dar es salaam kuna mstari mwembamba sana baina yenu na ushoga
Hajarudi na nina uhakika hatothubutu tena kujaa katika 18 zangu. Nina PhD ya Kujibizana na Watu kwa kila aina ya Maneno hata wakiwa 100 kwa wakati mmoja na Mimi hivi peke yangu tu na bado nitawamudu na kuwanyoosha wote.Kwa hili jibu sijui kama karudi
Hawa machawa wote ni wapuuzi, kuanzia Dotto Magari, Mwijaku, Baba Levo na wapuuzi wengine waliojaa hapa mjini.....mwanamme una akili timamu unashindaje kujipiga picha na kuropoka tu kila kukicha ili uwekwe mjini?"Mwijaku asiwaongopee watu kuwa amejenga atuonesha hati kama kuna jina lake mke wake ana msitiri tu kuishi kwake alichokisema @officialbabalevo kina ukweli ndiyo maana alikaa kimya" Alisema Haji Manara.
Chanzo Taarifa: manaratv
Ila Haji Manara muhuni sana Wewe jamaa yaani hata hujaogopa kusema kuwa Mwijaku Kajaaliwa Umbile zuri Mashaalah?
Unajua kwamba kupitia Kiki zao WAnaingiza Pesa kupitia mitandaoWanaume ni WAMBEA kuliko wanawake
Wanawake tumewaachia UMBEA sasa tunasaka PESA...
Ulivyo mjinga unaona matusi ni sifa nzuri.Hajarudi na nina uhakika hatothubutu tena kujaa katika 18 zangu. Nina PhD ya Kujibizana na Watu kwa kila aina ya Maneno hata wakiwa 100 kwa wakati mmoja na Mimi hivi peke yangu tu na bado nitawamudu na kuwanyoosha wote.